Hivi kwa nini watu mkoa wa Kigoma wakitoka mkoani mwao hawarudi tena kwao kabisa?

Hivi kwa nini watu mkoa wa Kigoma wakitoka mkoani mwao hawarudi tena kwao kabisa?

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚
 
Ili swali najiuliza maana kuna mfanyakazi mmoja wa kuchunga mifugo kwa sasa umri wake unakaribia miaka 55 unaambiwa tokea alipokuja mkoa x akiwa na umri wa miaka 15 hajawai kurudi kwao na wala hajui kulivyo wala ndugu.
Ni kweli kabisa nimewaona wengi tu kutoka Kigoma wakitoka kurudi ni majaliwa. Tulikuwa na mmoja shuleni tangu form one hadi form six hajurudi kwao!

Sababu kubwa ni ulozi au uchawi mkubwa huko Kigoma, watu wana uchawi mkubwa na mwingi sana huko. Ukirudi na maendeleo unakwenda kuhatarisha maisha yako.

Na sio Kigoma pekee, maeneo mengi nchi hii mtu akitoka na akafanikiwa ni vigumu kurudi nyumbani kwani anahatarisha maisha yake, hii ipo sana Kagera, kanda ya ziwa yote, na maeneo mengine. Ndio maana maeneo haya yana wasomi na matajiri wakubwa lakini hawapendi kabisa kwenda kwao. Mfano Kagera watu wengi wa huko wamehamia mazima maeneo mengine na kuacha kabisa kwao ndio maana mkoa wa Kagera licha ya wasomi wengi mkoa ni almost wa mwisho kimaendeleo, uchawi ni mwingi huko.

Watu pekee ambao hurudi nyumbani na tena hupenda kurudi nyumbani kuonesha mafanikio yao ni watu Kilimanjaro, tena sio maeneo yote, ni hasa wachagga wa milimani na tena sio wote. Wapo wengine nao hawapendi kabisa kurudi nyumbani hata Chrismass, ila kweli ni wachache, wengi hupenda kurudi.
 
Huo ni uongo ,wao ndo wanaongoza kwa kuwa na union vyuoni, kuliko makabila mengi au zinaishia shule?
 
Nimekaa huko Miezi 3 Itoshe kusema kigoma Hali ya maisha ni mbaya Sana Hakuna kabisa mzunguko wa Pesa Eti ukirudi uwekeze kwenye ishu Fulani hilo linakua gumu

Kingne Uchawi ni mwingi balaaaile mikoa yenye ziwa Tanganyika Kwa Uchawi ni Balaaa Ukirudi huko una Hela zako eti Ujenge Nyumba nzuri ya kisasa wakati kijijini kwenu nyumba asilimia kubwa ni za Udongo lazima Wakuloge tuu

KIGOMA MWISHO WA RELI
 
Ili swali najiuliza maana kuna mfanyakazi mmoja wa kuchunga mifugo kwa sasa umri wake unakaribia miaka 55 unaambiwa tokea alipokuja mkoa x akiwa na umri wa miaka 15 hajawai kurudi kwao na wala hajui kulivyo wala ndugu.
Acha uongo sasa tusirudi Nyumbani kwani tumezaliwa apa ๐Ÿ˜‚
 
Kanda ya Ziwa wengi hawarudigi kwaoo,

Tatizo wanaishi mbali sana na nchi..
 
Back
Top Bottom