Hivi kwani Mungu anajibu maombi mabaya?

Mkuu mpaka kesho nimeogopa kusema baya kwa mtu ninamdai pesa nyingi sana.
Nimefunga roho na mdomo,nazidi kutafuta hela.Mana nilipita hapo hapo ulipopita.
Jamaa kila mara hupiga simu kutaka kusema jambo lakini hawezi.
 
Wakati wake ulifika sababu tayari alikuwa amezaliwa na maambukizi Wala aihusiani na maombi yako
Katika ulimwengu wa roho mamlaka mbili zinajibu maombi kila moja kwa wakati wake
kwakweli walau nipate amani
 
Afadhali kidogo,. maana hadi sio poa
 
Kama darasa la nne ulikuwa na uwezo wa kuombea wenzio mabaya, naamini kwasasa ushakuwa mchawi wewe.
Dah😄😂😂😂 ni kwamba nilikua naona ana roho mbaya sana,.
Nowdays nimekuwa mwepesi wakusamehe,.
 
Heee maskini wa Mungu,. na huko alipo kama anakumbukumbu nzuri kashahisi umemroga labda
 
Mkuu mpaka kesho nimeogopa kusema baya kwa mtu ninamdai pesa nyingi sana.
Nimefunga roho na mdomo,nazidi kutafuta hela.Mana nilipita hapo hapo ulipopita.
Jamaa kila mara hupiga simu kutaka kusema jambo lakini hawezi.
Kuna kusema alafu kuna kusema kwa uchungu huku moyo wa msemaji ukiumia
 
  • Imebidi niache kunywa hii supu ya samaki, baada ya kugundua huyu samaki alikufa ili awe chakula cha wengine. Kifo kipo, na hakikwepeki tofauti ni muda tu.
  • Tuwatendee wote wema kwa kuwa wote tu wapitaji.
 
Nadhani haya ya sasa ni matokeo ya mbegu uliyoipanda kipindi kile kwaiyi huna budi kuvuna matunda yake

Kila jambo lina positive na negative. Sasa ukiwahi kuona positive tegemea negative itakuja baaada ya positive kuisha muda wake
 
Kuna kusema alafu kuna kusema kwa uchungu huku moyo wa msemaji ukiumia
Naendelea kuzia yote hayo..na jamaa aliona napitia shida akiwa na mkwanja wangu akashangilia nakufa nikapona.Then nikapotea kabisa 1 year.
Kuna mtu kwao kwenye rada zao akamshauri kuna jambo haliko sawa pahala..
 
Mandiko yanasema njoonj na hoja zenye nguvu. Hakuna ombi baya wa zuri, wa kuliona zuri ni ww na wakuliona baya ni ww.ok
Nilieleze kuhusu nguvu ya ulimi, the power of tongue, maandiko ya nasema nguvu ya uhai na kifo ipo ndani ya ulimi.

Ukiniena kifo yani mambo ya uharibifu kuna kitu,watu au roho lazima zikifanye kikue na ukinena mazuri alikadhalika.

Kipengele kinachofuata naomba utulivu.
Ukinena mambo mazuri, kutokea ni ngumu zaidi kuliko mambo mabaya.

Kwann??
Mambo mabaya pepo wachafu na wakuu wa aanga wana yakuza kwa kutumia ulimi wako, lakin mambo mema wakuu wa anga wanayazuia yazifanyike, yasifike sehemu husika na yakifika majibu usiyapate,
Malaika gabriel angekuwa anakuja na taatifa au kikombe cha adhabu wakuu wanga wasinge mzuia kwa siku 21.
 
Hata kama hajafa kwasababu ya maombi yako, ila kuweka dhamira ya kuhitaji afe na kuwa bize kuomba hilo litimie na lilipotokea kufurahia hiyo ni roho mbaya sana.

kunyimwa leso kufutia viatu ni big deal hadi unaombea mtu afe.?

Wanawake aseeeee.

Tubu kwa imani yako na omba utakaso.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…