Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 18,719
- 60,636
kiswahili cha wapi hichi?Kila maombi yanasikilizwa

Congokiswahili cha wapi hichi?
sawa bamutu ya congoCongo
Nikajua labda typo au nimesoma vibaya 😅, grow wisely young soul👼Yeah 2011 nlikua darasa la nne😃😃
Kuna exceptions.Miaka 90 ijayo huenda ikawa 100% mkuu, au hiyo nukta moja umeiweka just in case?
try {
// Code that might throw an exception
} catch (ExceptionType e) {
// Handle the exception
} finally {
// Optional: Code that always executes
}
Hata ukienda kwa mganga akuangalie / akutizame ukiwa na deni mtaalamu atakwambia kalipe deni kwanza then ndio urudi kufanyiwa duwa.Maisha yana siri kubwa sana hasa unapotamka kitu kwa uchungu... Kuna jamaangu nilizozana nae kipindi fulani nilifilisika nikamuuzia friji akanizulumu chenchi kidogo tu kwenye ile hela aliyotakiwa kunipa, sasa kwa hali ngumu niliyokua nayo nikajikuta nimemtamkia maneno fulani kwa uchungu kitu ambacho naona kimetokea kama nilivyomwambia.
Friji niliuza ili niweze kumhudumia mke wangu aliyeenda kujifungua, nae alikuja kufilisika na kanasa kwenye mtego kama wangu hadi namkwepa asije kusema mimi mchawi
Ngoja hii KAULI nangojea ASKOFU GWAJIMA saga.Sijasoma post yote nimeishia hapo uliposema ulimuombea mtu afe.
Huwezi kumuombea mtu afe na akafa,ingekuwa hivyo hata wewe ungeshakufa maana siyo wote unaoona wanakuchekea wanakupenda au wanakutakia heri,tunakufa kwa sababu tunakuwa tumeshamaliza yaliyotuleta duniani.
Hatareee sanaa mkuu, UWE UNANIPA SHIKAMOO YANGU 🤓 .Wakuu habari za kuamka....
Mwenzenu najiskia vibaya sana sana sana yaani vibaya mnooo.. Natamani hata nisingekua nimeshika simu leo,. Kuna mtu kaweka status "Forever in our hearts" kampost mtu ambaye alifariki 2012 hadi nilishamsahau,. Nilikua mtoto lakini huyu mtu kila siku nilikua namuombea kwa Mungu afe,.
Ilikua hivi,. Nakumbuka Kabla ya likizo ya pasaka nlikua darasa la nne by then.. Tulikua tunafanya mitihani ya Joint shule nyingi nyingi na wale wanaokuwa topten mnaitwa mnapewa zawadi mnashangiliwa na kombe mnapewa kurudi nalo shuleni
Hiyo siku na mimi nilipass nikawa nominated kati ya ambao wataenda kuchukua zawadi,. Mda tunajiandaa tukaanza kujisafisha yaani kama kufuta viatu, kujiweka tu vizuri, nikatafuta lesso yangu nifutie viatu sikuiona.. Huyu binti ambae ni marehemu Alitoa lesso watu wote wakawa wamefutia viatu mimi nlikua wa mwisho ikafika zamu yangu huku najifuta nikaangalia vizuri nikaijua ni lesso yangu ambayo nlikua naitafuta, nikamwambia hii mbona lesso yangu nlikua naitafuta umeipata wapi? Si akakasirika akaninyang' anya nikamwambia basi nikupa iwe yako niachie tu nimalizie kufutia maana ndio nlikua nimeitwa niende mbele Akagoma .
Imagine nimeenda Mbele yatu wengi wanafunzi wa karibia shule 10 na walimu ,kiatu kimoja kisafi kingine kina Vumbi halafu yeye na rafiki zake walikua wananicheka 😭😭😭,. Ile siku hata sikuifurahia nilivyotoka tu nikapiga picha (na kiatu changu kimoja kina vumbi mwenyewe) nikarudi zangu nyumbani hata sikuongea na mtu...
To be honest tangu sikuile nilikua namchukia , mda wa kusali sala za jioni au asubuhi au kanisani nlikua namwambia Mungu kwanini watu wenye Roho mbaya unawaacha waishi,. Nlikua namwomba Mungu kila siku yule binti afe,. nilikua simpendi yaani kila siku nlikua namwambia Mungu huyu mtu asipokufa mimi nitaacha kusali maana ni anaroho mbaya kwanini asife tu?
Wakati tunakaribia kufunga shule December alianzaga kuumwa akawa na vidonda vidonda,nywele zake zilikua zinayonyoka Alikua anababuka midomo, Mara shuleni haji,. kwa wiki anaweza aje siku moja na akifika basi kuna mda anaanza kuumwa mara anatapika mzazi wake anakuja kumchukua, tulikua tunaambiwa Fulani anaumwa mkipata nafasi mkamwone me sikwenda hata siku moja, Kwanza nlikua nafurahi rohoni namwambia Mungu saizi ndio muda wake huu wa kufa, Wakati tupo darasa la tano alifariki nikawa najiskia amani kwanza hadi nilishamsahau... Tulikujaga tu kujua baadae kumbe alikua ni HIV POSITIVE tangu alivyozaliwa,.
Hapa nimekaa najiskia tu huzuni maybe hatakama alikua HIV positive pangine angeishi mda mrefu ila maombi yangu yalikuwa yanapigilia misumari mpaka akafa mwee!!,. Nimetoka kumwambia Mungu kama maombi yangu yalihusika anisamehe maana sikua najua nafanya nini kwa kipindi kile ni utoto tu😒🙏🙏
Ila sidhani kama maombi mabaya huwa yanaskilizwa🤔🤔
Ayobu alikuwa anaogopa sana kupoteza familia yake, lakin ona yalio mkuta? Vp ww🤔🤔🤔🤔
Kumbe ni kijana kabisa aise.Leejay49 kumbe we ni young me najua Wewe ni mshangazi km secretarybird
Dah,Wakuu habari za kuamka....

Hatareee sanaa mkuu, UWE UNANIPA SHIKAMOO YANGU 🤓 .
usiwe na HASIRA Sana sana uwe mtu wa ku take it easy.