Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
- Thread starter
- #41
😂🤣🤣🤣🤣🤣Malipo Ni hapahapa dunianiKuna RPC mmoja alistaafu kazi akiwa nadhani mkoa wa arusha anaishi moshi mjini anatembea kwa miguu mji mzima na kupanda bajaji!!
Na aligombea udiwani kupitia ccm skapata kura 1.