Hivi kwanini Askari wastaafu wengi wanaishia kwenye vilabu vya pombe za kienyeji baada ya kustaafu?

Hivi kwanini Askari wastaafu wengi wanaishia kwenye vilabu vya pombe za kienyeji baada ya kustaafu?

Kuna RPC mmoja alistaafu kazi akiwa nadhani mkoa wa arusha anaishi moshi mjini anatembea kwa miguu mji mzima na kupanda bajaji!!

Na aligombea udiwani kupitia ccm skapata kura 1.
😂🤣🤣🤣🤣🤣Malipo Ni hapahapa duniani
 
Habari wanjf.

Jamani nmeexperience baadhi ya Askari wa Jeshi fulani wakistaafu wanakua na Maisha fulani tofauti kabisa na vile walivyokuwa katika utumishi. Maana ni wazi kuwa serikali yetu inajari Sana Askari wake.

Sasa je Nini kinawafanya waishie kwenye pombe na ulinzi baada ya kustaafu. Inakuwa na akili zao zimechoka na kazi ngumu?
a
Wengi utaskia wakijisifia baada ya kulewa nilvyokuwa jeshini, sikuwa na masihara.Hili likoje na Nini kinawakuta kwa
wameshaoea amri,mguu pande!!!!nae huyo!!!,nyumaaaaaaaaa geuka,huyo kageuka,.......sasa wanakuwa hawapo flexible kifikra,,nakutokana na kubanwa na majukumu,na kazi za kujirudiarudia izoizo akili inakuwa imeganda,,,,sasa akistaafu maisha yakimwambia nyuma aaaaaaaaa geuka gafla anakutana na ubanda wa mnazi,anachofanya ni kuinama na kuingia ubandani!!
 
Wengi Huwa na maisha ya madeni, kutokana na kuwa na dhamana ya kukopesheka Huwa na madeni ya muda mrefu. Unakuta mtu anadaiwa na taasisi zote zinazokopesha na ana madeni ambayo ukiupigia hesabu mshahala anaopokea anaweza kuyalipa Kwa miaka 10.

Hapo unadhani akistaafu Kuna atakacho bakiwa nacho....? Amini nakwambia Bora mfanyabiashara kuliko hawo mnaowaona wamevaa uniform zao. Wengi wanaishi Kwa stress kubwa sana. Na wengi hawana mzuka kabisa wa kazi sema ndio hivyo madeni huwafanya wabaki kuwa watiifu🤣🤣🤣

Baada ya kustaafu hujisahau na kuishi maisha Yale yale aliyokuwa anaishi, huku akijua kuwa pesa aliyokuwa anapata kama mshahala sasa imepungua🙆😭🙆😭​
 
Habari wanjf.

Jamani nmeexperience baadhi ya Askari wa Jeshi fulani wakistaafu wanakua na Maisha fulani tofauti kabisa na vile walivyokuwa katika utumishi. Maana ni wazi kuwa serikali yetu inajari Sana Askari wake.

Sasa je Nini kinawafanya waishie kwenye pombe na ulinzi baada ya kustaafu. Inakuwa na akili zao zimechoka na kazi ngumu?

Wengi utaskia wakijisifia baada ya kulewa nilvyokuwa jeshini, sikuwa na masihara.Hili likoje na Nini kinawakuta kwa wastaafu. Karibu kwa mjadala.
hata usipowataja Ila ni geshi retu pendwa la borish.. wana maisha ya hovyo mtaani kwa sababu ya dhulma na kubambikia watu! laana inawatafuna hawafai kuonea huruma
 
Mkuu ukiona mstaafu Sasa hivi maana yake hiko sio kizazi cha sasa, ni Cha zaidi ya miaka 40 iliyopita. Wasasa hawataishia huko mana hata vilabu siku hizi ni adimu kukutana navyo[emoji52]
Ila wataishia bar na cosanova casino!
 
MAASKARI WANAISHI KWA MAELEKEZO ZAIDI KARIBU MAISHA YAO YOTE YA KAZINI.

NENDA PALE, USIENDE PALE, FANYA HIKI, USIFANYE KILE. SASA MWISHOWE HIYO KITU INAKUWA KWENYE BONGO ZAO. INAWAONDOLEA NAMNA YA KUFIKIRI KUENDANA NA MAZINGIRA.

HAWANA UWEZO WA MAAMUZI YAO WENYEWE KWA SABABU WAMEZOEA KUAMULIWA NA WENGINE. WAKIJA KITAA WANAPOTEA MAPEMA SANA KWA KUKOSA UWEZO WA KUJIONGOZA NA KUBADILIKA KUTOKANA NA MAZINGIRA HALISI NA WAKATI UNAVYOTAKA.

KULA CHUMA ICHO.
 
Wengi wanalaaana sana...nmewahi kuibiwa milion 1.8 na polis wa usku
bora umeongea hata mimi nilishaibiwa pesa kituo kikuu cha makao makuu ya nchi, yaani nimekabidhi wallet ina pesa na asubuhi nilipodai wakaanza kunitisha kunibambikia kesi zingine mbali na kupata ajali na gari yangu usiku. Uzuri alikuwepo mama akanishauri nisitake zogo nao hizo pesa hazitawafikisha popote. Hizi laana ndogo ndogo wanajitakiaga wenyewe wakiwa kazini huwa wanajiona wameyapatia sana maisha kwa zile sare za khaki kwa nyeupe
 
Walizoea bia za kununuliwa kama hongo kipindi wakiwa kazini
Aise wewe unasemaje??? unataka kurizaririrsha geshi la porisi...unatuita manjagu, mapongo au tukuweke sero ukanyee ndoo ya chuma
IMG_20230918_183141.jpg
 
bora umeongea hata mimi nilishaibiwa pesa kituo kikuu cha makao makuu ya nchi, yaani nimekabidhi wallet ina pesa na asubuhi nilipodai wakaanza kunitisha kunibambikia kesi zingine mbali na kupata ajali na gari yangu usiku. Uzuri alikuwepo mama akanishauri nisitake zogo nao hizo pesa hazitawafikisha popote. Hizi laana ndogo ndogo wanajitakiaga wenyewe wakiwa kazini huwa wanajiona wameyapatia sana maisha kwa zile sare za khaki kwa nyeupe
Mkuu walipogundua nina helaa kwaza mmoja alikoki SMG...wakasemaa mm n jambaz ...kisa kutembea usku natoka kula vtu...ilaaa walikuja kujuta na wote nowadays n marafik zangu sana maaana ajira zao zlikuwa mikonon mwangu...
 
Na wazidi kulaaniwa walichonifanya 2017 belia ya snake park Arusha MUNGU Mwenyenzi atawalipa na vizazi vyao
 
wameshaoea amri,mguu pande!!!!nae huyo!!!,nyumaaaaaaaaa geuka,huyo kageuka,.......sasa wanakuwa hawapo flexible kifikra,,nakutokana na kubanwa na majukumu,na kazi za kujirudiarudia izoizo akili inakuwa imeganda,,,,sasa akistaafu maisha yakimwambia nyuma aaaaaaaaa geuka gafla anakutana na ubanda wa mnazi,anachofanya ni kuinama na kuingia ubandani!!
Kwa kweli mkuu unadhani
 
Hak
MAASKARI WANAISHI KWA MAELEKEZO ZAIDI KARIBU MAISHA YAO YOTE YA KAZINI.

NENDA PALE, USIENDE PALE, FANYA HIKI, USIFANYE KILE. SASA MWISHOWE HIYO KITU INAKUWA KWENYE BONGO ZAO. INAWAONDOLEA NAMNA YA KUFIKIRI KUENDANA NA MAZINGIRA.

HAWANA UWEZO WA MAAMUZI YAO WENYEWE KWA SABABU WAMEZOEA KUAMULIWA NA WENGINE. WAKIJA KITAA WANAPOTEA MAPEMA SANA KWA KUKOSA UWEZO WA KUJIONGOZA NA KUBADILIKA KUTOKANA NA MAZINGIRA HALISI NA WAKATI UNAVYOTAKA.

KULA CHUMA ICHO.
Hakika naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom