Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
- Thread starter
-
- #41
😂🤣🤣🤣🤣🤣Malipo Ni hapahapa dunianiKuna RPC mmoja alistaafu kazi akiwa nadhani mkoa wa arusha anaishi moshi mjini anatembea kwa miguu mji mzima na kupanda bajaji!!
Na aligombea udiwani kupitia ccm skapata kura 1.
Nani huyo EX RPC ambaye hakujipanga??Kuna RPC mmoja alistaafu kazi akiwa nadhani mkoa wa arusha anaishi moshi mjini anatembea kwa miguu mji mzima na kupanda bajaji!!
Na aligombea udiwani kupitia ccm skapata kura 1.
Siyo ya kucheka ni kumuonea huruma kwa tabu anazopitia ingawa wengi wakiwa na vyeo hujiona mungu mtu kama watu wa tra aisee wana roho ngumu sana😂🤣🤣🤣🤣🤣Malipo Ni hapahapa duniani
wameshaoea amri,mguu pande!!!!nae huyo!!!,nyumaaaaaaaaa geuka,huyo kageuka,.......sasa wanakuwa hawapo flexible kifikra,,nakutokana na kubanwa na majukumu,na kazi za kujirudiarudia izoizo akili inakuwa imeganda,,,,sasa akistaafu maisha yakimwambia nyuma aaaaaaaaa geuka gafla anakutana na ubanda wa mnazi,anachofanya ni kuinama na kuingia ubandani!!Habari wanjf.
Jamani nmeexperience baadhi ya Askari wa Jeshi fulani wakistaafu wanakua na Maisha fulani tofauti kabisa na vile walivyokuwa katika utumishi. Maana ni wazi kuwa serikali yetu inajari Sana Askari wake.
Sasa je Nini kinawafanya waishie kwenye pombe na ulinzi baada ya kustaafu. Inakuwa na akili zao zimechoka na kazi ngumu?
a
Wengi utaskia wakijisifia baada ya kulewa nilvyokuwa jeshini, sikuwa na masihara.Hili likoje na Nini kinawakuta kwa
hata usipowataja Ila ni geshi retu pendwa la borish.. wana maisha ya hovyo mtaani kwa sababu ya dhulma na kubambikia watu! laana inawatafuna hawafai kuonea hurumaHabari wanjf.
Jamani nmeexperience baadhi ya Askari wa Jeshi fulani wakistaafu wanakua na Maisha fulani tofauti kabisa na vile walivyokuwa katika utumishi. Maana ni wazi kuwa serikali yetu inajari Sana Askari wake.
Sasa je Nini kinawafanya waishie kwenye pombe na ulinzi baada ya kustaafu. Inakuwa na akili zao zimechoka na kazi ngumu?
Wengi utaskia wakijisifia baada ya kulewa nilvyokuwa jeshini, sikuwa na masihara.Hili likoje na Nini kinawakuta kwa wastaafu. Karibu kwa mjadala.
Ila wataishia bar na cosanova casino!Mkuu ukiona mstaafu Sasa hivi maana yake hiko sio kizazi cha sasa, ni Cha zaidi ya miaka 40 iliyopita. Wasasa hawataishia huko mana hata vilabu siku hizi ni adimu kukutana navyo[emoji52]
bora umeongea hata mimi nilishaibiwa pesa kituo kikuu cha makao makuu ya nchi, yaani nimekabidhi wallet ina pesa na asubuhi nilipodai wakaanza kunitisha kunibambikia kesi zingine mbali na kupata ajali na gari yangu usiku. Uzuri alikuwepo mama akanishauri nisitake zogo nao hizo pesa hazitawafikisha popote. Hizi laana ndogo ndogo wanajitakiaga wenyewe wakiwa kazini huwa wanajiona wameyapatia sana maisha kwa zile sare za khaki kwa nyeupeWengi wanalaaana sana...nmewahi kuibiwa milion 1.8 na polis wa usku
hawanaga maeneo mengine zaidi ya hayo maeneo,, humkuti askari mstaafu kwenye jumuiya wala kanisani wao ni bar tu na vijiwe vya kamari wanatumia nguvu kujieleza ili wakupige mizinga ya pombe na sigara. Nawachukia sana hawa watu!Ila wataishia bar na cosanova casino!
wachache sana tena wale wenye vyeo vya juuSiku hizi wanawekeza Mali sio Kama zamani.
Wananjaa Kali mpaka zinapiga alarmMkuu asaivi jeshi la polisi kila mtu anang'ang'ania akosome awe trafk kituoni hakuna watu hata mwenye nyota tatu unamkuta bara barani na ma OCD wanashinda umo umo lod
Labda kaa mnawazungumzia askari magerezaWananjaa Kali mpaka zinapiga alarm
Aise wewe unasemaje??? unataka kurizaririrsha geshi la porisi...unatuita manjagu, mapongo au tukuweke sero ukanyee ndoo ya chumaWalizoea bia za kununuliwa kama hongo kipindi wakiwa kazini
Mkuu walipogundua nina helaa kwaza mmoja alikoki SMG...wakasemaa mm n jambaz ...kisa kutembea usku natoka kula vtu...ilaaa walikuja kujuta na wote nowadays n marafik zangu sana maaana ajira zao zlikuwa mikonon mwangu...bora umeongea hata mimi nilishaibiwa pesa kituo kikuu cha makao makuu ya nchi, yaani nimekabidhi wallet ina pesa na asubuhi nilipodai wakaanza kunitisha kunibambikia kesi zingine mbali na kupata ajali na gari yangu usiku. Uzuri alikuwepo mama akanishauri nisitake zogo nao hizo pesa hazitawafikisha popote. Hizi laana ndogo ndogo wanajitakiaga wenyewe wakiwa kazini huwa wanajiona wameyapatia sana maisha kwa zile sare za khaki kwa nyeupe
Kwa kweli mkuu unadhaniwameshaoea amri,mguu pande!!!!nae huyo!!!,nyumaaaaaaaaa geuka,huyo kageuka,.......sasa wanakuwa hawapo flexible kifikra,,nakutokana na kubanwa na majukumu,na kazi za kujirudiarudia izoizo akili inakuwa imeganda,,,,sasa akistaafu maisha yakimwambia nyuma aaaaaaaaa geuka gafla anakutana na ubanda wa mnazi,anachofanya ni kuinama na kuingia ubandani!!
Pole saana mkuu wasamehe bureNa wazidi kulaaniwa walichonifanya 2017 belia ya snake park Arusha MUNGU Mwenyenzi atawalipa na vizazi vyao
Hakika naunga mkono hojaMAASKARI WANAISHI KWA MAELEKEZO ZAIDI KARIBU MAISHA YAO YOTE YA KAZINI.
NENDA PALE, USIENDE PALE, FANYA HIKI, USIFANYE KILE. SASA MWISHOWE HIYO KITU INAKUWA KWENYE BONGO ZAO. INAWAONDOLEA NAMNA YA KUFIKIRI KUENDANA NA MAZINGIRA.
HAWANA UWEZO WA MAAMUZI YAO WENYEWE KWA SABABU WAMEZOEA KUAMULIWA NA WENGINE. WAKIJA KITAA WANAPOTEA MAPEMA SANA KWA KUKOSA UWEZO WA KUJIONGOZA NA KUBADILIKA KUTOKANA NA MAZINGIRA HALISI NA WAKATI UNAVYOTAKA.
KULA CHUMA ICHO.