Uchaguzi 2020 Hivi kwanini baadhi ya watu wanataka Aidah Khenan wa CHADEMA ajiuzulu Ubunge alioshinda?

Aache tuu kwani ccm inaweza Kutatua Matatizo ya Jimboni kwake bila hata yeye, h
 
Aidah lazima ajiuzulu.Lakini iwapo anapenda kuwa mbunge basi atangaze kuwa ameunga mkono juhudi na uchaguzi mgodo uitishwe agombanie apate
 
Aidah lazima ajiuzulu.Lakini iwapo anapenda kuwa mbunge basi atangaze kuwa ameunga mkono juhudi na uchaguzi mgodo uitishwe agombanie apate
Usitumie neno 'lazima' wakati mtu kafanya kampeni kama wengine na katangazwa kashinda.

Haya mabavu ndiyo yanasababisha wengine wahame waunge mkono juhudi na Mbowe kuonekana dikteta kwenye chama
 
Usitumie neno 'lazima' wakati mtu kafanya kampeni kama wengine na katangazwa kashinda.

Haya mabavu ndiyo yanasababisha wengine wahame waunge mkono juhudi na Mbowe kuonekana dikteta kwenye chama
Sidhani kama Mbowe ni dikteta.

Ushindi wa asilimia 99 mara nyingi ni tatizo. Ushindi wa 99% ulikuwa unatOkea enzi za Sadam Hussein na Gaddafi na katika nyakati za sasa kwa Kagame na Museveni

Swali: Je ushindi wa 99% una faida kwa taifa?
 
Usitumie neno 'lazima' wakati mtu kafanya kampeni kama wengine na katangazwa kashinda.

Haya mabavu ndiyo yanasababisha wengine wahame waunge mkono juhudi na Mbowe kuonekana dikteta kwenye chama
Tena kapambana haswa huyo dada ni jeshi la mtu mmoja.
Hakupata support ya kutosha kutoka uongozi wa mkoa CHADEMA Rukwa wabinafsi mno.
CHADEMA tumieni akili hta kidogo maamuzi yenu ya hovyo mtaenda kujimaliza wenyewe kisiasa.
 
sidhani kama Mboe ni dikteta.
Ushindi wa asilimia 99 mara nyingi ni tatizo.Ushindi wa 99% uliku wa unatikea enzi za sadam Hussein na Gaddafi na katika nyakati za sasa kwa kagame na Museveni.
Swali : Je ushindi wa 99% una faida kwa taifa?
Ushindi huo unakua na faida kutokana na viongozi wenyewe. Kama kiongozi ni duwanzi, basi hakuna faida yyt na ushindi huo.
 
Kujiudhuru kutaonesha hayupo kimaslahi. Mtu mwenye akiki timamu hawezi furahia kwenda bungeni wakat wenzake wamefanyiwa michezo michafu.
Huko bungeni anakwenda kuwakilisha chama au wananchi wake?
 
Raia watapata taarifa hata kama chadema hawapo. Siyo lazima chadema wawepo ndipo raia wapate taarifa
 
Asiende tujue hatuna mwakilishi kabisa ili tujipange vizuri.
 
Kwa sababu wengine wote walioshinda wameporwa ushindi kuanzia Tundu Lissu na wengineo
 
Ya nini sasa afanye hivyo?

Hivi hizi ideas ni za nini?

Kashinda, aachwe aende bungen..shit!!!
Kasema mwenyewe kuwa hataki kwenda bungeni na hadi sasa viongozi wake hawajasema lolote. Kumbuka huyu alikuwa mbunge wa viti maalum chadema bunge lililopita. Anajua anachokisimamia. Hawezi kwenda bungeni ili ccm wapate mtu wa kumdhihaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…