hii inatumia sensor ipi kwenye Apple? au unagusisha kwenye kioo? hhahahahaWanapia vitu vingi adimu ambavyo simu zingine hupati
Mfano kwa mkulima apple wana app ya kusoma cards za kupima kiasi cha dawa kilichopulizwa kwenye mmea na kukupa majibu kama ni high, mid au low
Siku za nyuma pia ilikua na app ya kupima fruit maturity yaani unaigusisha na tunda labda tikiti maji and inakupa majibu kama limeiva au lah
So naamini hata wa sector zingine kama ujenzi, biashara apple wana apps za kukusaidia ambazo kwenye simu zingine hupati
Mkuu hebu weka apps zote useful za iphone ambazo watumiaj wengi wa kawaida hawazijui ila zinatufaa kwa matumizi yetu ya kila sikuWanapia vitu vingi adimu ambavyo simu zingine hupati
Mfano kwa mkulima apple wana app ya kusoma cards za kupima kiasi cha dawa kilichopulizwa kwenye mmea na kukupa majibu kama ni high, mid au low
Siku za nyuma pia ilikua na app ya kupima fruit maturity yaani unaigusisha na tunda labda tikiti maji and inakupa majibu kama limeiva au lah
So naamini hata wa sector zingine kama ujenzi, biashara apple wana apps za kukusaidia ambazo kwenye simu zingine hupati
Uko nyuma sana ki technology, nimekuwekea mfano hiyo snap card, kwenye apple inafanya mautundu kibao sio sawa na hii ya android.hii inatumia sensor ipi kwenye Apple? au unagusisha kwenye kioo? hhahahaha
Kitu kitu inaitwa 'positioning' kwenye soko..kama maji ya kilimanjaro yanavyojifanya matawi wakati yana chumvi
Mkuu unatumia simu gani kwa sasa?..nimeona watu wengi wana base katika QUALITY (display,sijui TUNDA lina bei and other things) kwa upande wangu BIDHAA za APPLE ni ghari kwa sababu zisizo zidi 4..
1-SECURITY (ULINZI) mtumiaji wa bidhaa za apple ana ulinzi wa DATA zake kwa asilimia 95%... tofauti na bidhaa zingine
2-Natural INSUARANCE ... huwezi kutoa icloud bila kuingia gharama... hata kama ukiikota au kuiba.. na BADO unaweza kukamatwa popote endapo mmiliki akiamua kutafuta kifaa chake... ina (TRACKING SYSTEM) ambayo kwa simu kama HUAWEI hawana... ushahid ninao.. wenyewe HUAWEI wamekili kuwa hawana TRACKING SYSTEM ya kurudisha device iliyopotea au kuibiwa kwa OWNER (MMILIKI) ila kwa apple devices ipo..
3-PRESTIGE.... (UFAHARI) ukizingatia APPLE imeshika soko la marekani na wamerakani hawapendi mfanano na nchi za dunia ya tatu na wapo updated.. ndio maana TECHNOLOGY yao wanauza kwa bei ya juu.. so kwa sisi watu wa dunia ya TATU mfano TANZANIA kumiliki bidhaa ya apple uwe vizuri mfukoni.. hivyo basi unajiona na wewe unaenda na wakati...
4-QUALITY (UBORA) sio bidhaa za APPLE tu ndio zina ubora tujikumbushe kampuni kongwe kama SONY-BLACKBERRY enzi hizo..mpaka leo wakitoa device inakuwa na quality (kwa waliowahi kutumia hizi brands wananielewa)..
-quality apple wapo vizuri katika maeneo nyeti na yanayopendwa
-CAMERA zao zina mega pixels kibao na wanampango wa kutengeneza camera yenye uwezo wa kukabiliana na TABIA/UWEZO/UBORA wa jicho la binadamu..
-POWER STORAGE inakaa na charge kwa muda mrefu.. ndio maana hadi charge zinauzwa bei na hazizagai hovyo
-SCREEN QUALITY/SIZE
-software yake HAIINGILIWI NA VIRUS kirahisi
-mpangilio wa applications zake nao umekaa vizuri na mengine mengi.
kwa upande wangu hayo ndio yanafanya bidhaa hii kuwa na BEI kubwa ingawa kuna bidhaa zina ubora zaid ya APPLE au zinalingana..
KWA SASA SINA SIMU.. nilikuwa natumia HUAWEI wakaniibia..washenzi fulani hivi.. wiki iliyopita ikabidi niifatilie maeneo mbali mbali hadi kuwasiliana na HUAWEI makao makuu CHINA.. kwa njia ya EMAIL wakasema hawana system ya ku track device.. so najipanga ninunue nyingine tuMkuu unatumia simu gani kwa sasa?..
Mkuu mi naona umetoa porojo tu, Tuambie ni sensor gani inapima kama tunda limeivaaUko nyuma sana ki technology, nimekuwekea mfano hiyo snap card, kwenye apple inafanya mautundu kibao sio sawa na hii ya android.
Pia apple utalinganisha na simu za bei range yake yaan kama apple ya milioni basi italingana na android device ya milioni ila huwezi linganisha apple na itel, tecno, infinix nope
Hapo hata suala la bei utaona sio huge difference
Hivi siwezi kutengeneza bidhaa mbadala kwa kutumia mapera?
Alilizidi lile tunda jingine,ambalo pa1 na utamu wake wengine wanapewa bureeeTunda lenyewe tuu ghali...
Kuna tunda tamm zaidi ya apelii[emoji16]Alilizidi lile tunda jingine,ambalo pa1 na utamu wake wengine wanapewa bureee
Lipo,kuna jamaa yangu m1 juzi kati kalinunua toyota harrier new model,while jamaa mwenyewe anatembelea vitzKuna tunda tamm zaidi ya apelii[emoji16]
HARRIER kisa mbunye..no wayLipo,kuna jamaa yangu m1 juzi kati kalinunua toyota harrier new model,while jamaa mwenyewe anatembelea vitz
Mmhhmm...litakuwa tunda LA ujuzi wa mema na mabaya hilo,..Lipo,kuna jamaa yangu m1 juzi kati kalinunua toyota harrier new model,while jamaa mwenyewe anatembelea vitz
[emoji23][emoji23][emoji23]HARRIER kisa mbunye..no way
Hizi ndo pointiinimeona watu wengi wana base katika QUALITY (display,sijui TUNDA lina bei and other things) kwa upande wangu BIDHAA za APPLE ni ghari kwa sababu zisizo zidi 4..
1-SECURITY (ULINZI) mtumiaji wa bidhaa za apple ana ulinzi wa DATA zake kwa asilimia 95%... tofauti na bidhaa zingine
2-Natural INSUARANCE ... huwezi kutoa icloud bila kuingia gharama... hata kama ukiikota au kuiba.. na BADO unaweza kukamatwa popote endapo mmiliki akiamua kutafuta kifaa chake... ina (TRACKING SYSTEM) ambayo kwa simu kama HUAWEI hawana... ushahid ninao.. wenyewe HUAWEI wamekili kuwa hawana TRACKING SYSTEM ya kurudisha device iliyopotea au kuibiwa kwa OWNER (MMILIKI) ila kwa apple devices ipo..
3-PRESTIGE.... (UFAHARI) ukizingatia APPLE imeshika soko la marekani na wamerakani hawapendi mfanano na nchi za dunia ya tatu na wapo updated.. ndio maana TECHNOLOGY yao wanauza kwa bei ya juu.. so kwa sisi watu wa dunia ya TATU mfano TANZANIA kumiliki bidhaa ya apple uwe vizuri mfukoni.. hivyo basi unajiona na wewe unaenda na wakati...
4-QUALITY (UBORA) sio bidhaa za APPLE tu ndio zina ubora tujikumbushe kampuni kongwe kama SONY-BLACKBERRY enzi hizo..mpaka leo wakitoa device inakuwa na quality (kwa waliowahi kutumia hizi brands wananielewa)..
-quality apple wapo vizuri katika maeneo nyeti na yanayopendwa
-CAMERA zao zina mega pixels kibao na wanampango wa kutengeneza camera yenye uwezo wa kukabiliana na TABIA/UWEZO/UBORA wa jicho la binadamu..
-POWER STORAGE inakaa na charge kwa muda mrefu.. ndio maana hadi charge zinauzwa bei na hazizagai hovyo
-SCREEN QUALITY/SIZE
-software yake HAIINGILIWI NA VIRUS kirahisi
-mpangilio wa applications zake nao umekaa vizuri na mengine mengi.
kwa upande wangu hayo ndio yanafanya bidhaa hii kuwa na BEI kubwa ingawa kuna bidhaa zina ubora zaid ya APPLE au zinalingana..
Usicheke..hili ni la kusikitika kabisa..au na wewe ndo mambo zako,,IST mpya ndo unatoa tunda??[emoji23][emoji23][emoji23]
hahahahaa hii ni hatariii sana daah[emoji23][emoji23][emoji23]mm maskini ya Mungu napambana tuu na hali zangu kwakweli[emoji23][emoji23]Usicheke..hili ni la kusikitika kabisa..au na wewe ndo mambo zako,,IST mpya ndo unatoa tunda??