Kutokumpenda Mungu! Kama wangekuwa wanamjua Mungu na kumpenda Mungu, wangevipenda na kuvijali viumbe Vyake.Watanzania wana roho mbaya sana juu ya wanyama. Wakimuona paka ata kama hajafanya kitu wanaanza kumporomoshea mawe wanamfukuza na matusi juu. Halikadhalika mbwa na ndege kama vile kunguru na ndege wengine. Ni nini hasa inachangia Watanzania kuwa na roho mbaya juu ya wanyama ambao ni viumbe visivyokuwa na hatia?
Huu ni utamaduni uliojijenga kwa siku nyingi pengine kwa sababu ya mazingira tunayoishi. Siyo wanyama na ndege tu hata binadamu wenyewe kwa wenyewe hupenda kushambuliana.Watanzania wana roho mbaya sana juu ya wanyama. Wakimuona paka ata kama hajafanya kitu wanaanza kumporomoshea mawe wanamfukuza na matusi juu. Halikadhalika mbwa na ndege kama vile kunguru na ndege wengine. Ni nini hasa inachangia Watanzania kuwa na roho mbaya juu ya wanyama ambao ni viumbe visivyokuwa na hatia?
Hizi ni sababu nazoweza kuzikubali. Hata kuangalia picha za watu waliojeruhiwa au kufariki nalo ni tatizo. Unakuta mtu akisikia kuna ajali mbaya imetokea mahali anakimbilia mbio. Akikuta hakuna majeruhi anarudi huku anatukana eti amepoteza muda wake na hakuna lolote. Akikuta majeruhi na vifo anaumia lakini hapo hapo roho yake inaridhika.Stress na Uchawi.
Ajabu sanaHizi ni sababu nazoweza kuzikubali. Hata kuangalia picha za watu waliojeruhiwa au kufariki nalo ni tatizo. Unakuta mtu akisikia kuna ajali mbaya imetokea mahali anakimbilia mbili. Akikuta hakuna majeruhi anarudi huku anatukana eti amepoteza muda wake na hakuna lolote. Akikuta majeruhi na vifo anaumia lakini hapo hapo roho yake inaridhika.
Mungu watamjuaje wakati yeye mwenyewe hajulikani? Unataka wajue hewa inayoitwa Mungu?Kutokumpenda Mungu! Kama wangekuwa wanamjua Mungu na kumpenda Mungu, wangevipenda na kuvijali viumbe Vyake.
Wewe hushangai mtu anamtumikisha punda kwa manufaa yake binafsi na bado anampiga bila kosa!
Una uhakika hawana hatia?Watanzania wana roho mbaya sana juu ya wanyama. Wakimuona paka ata kama hajafanya kitu wanaanza kumporomoshea mawe wanamfukuza na matusi juu. Halikadhalika mbwa na ndege kama vile kunguru na ndege wengine. Ni nini hasa inachangia Watanzania kuwa na roho mbaya juu ya wanyama ambao ni viumbe visivyokuwa na hatia?
Umewahi fuga paka au wow tujue kweli unawapenda au laa au hata kunguru 🤔Watanzania wana roho mbaya sana juu ya wanyama. Wakimuona paka ata kama hajafanya kitu wanaanza kumporomoshea mawe wanamfukuza na matusi juu. Halikadhalika mbwa na ndege kama vile kunguru na ndege wengine. Ni nini hasa inachangia Watanzania kuwa na roho mbaya juu ya wanyama ambao ni viumbe visivyokuwa na hatia?