Hivi kwanini binadamu wana roho mbaya sana juu ya wanyama?

Hivi kwanini binadamu wana roho mbaya sana juu ya wanyama?

Paka wa bar ni usumbufu ila kuwapiga au kuwaghasi wanyama bila sababu ni tabia za sadists.
 
Tofauti ya watanzania wengi na wanyama kimaisha ni ndogo sana.
 
We umejuaje kuwa hawana hatia?

Sisi sio wazungu kucheka cheka na wanyama na kuwageuza wanadamu. Sisi kuwatia discipline na kuwaadabisha ndio kazi yetu.
 
Hakuna ushahidi thabiti kuipa mada hii uhalali wa kuwajumuisha Watanzania wote na Ukatili.

Itoshe, tuwakemee na kuwalaani watu wote pamoja na haya magaidi ya mitandaoni, wanaoweka dhana ya Ukatili wa Mtanzania. Wanaipaka matope nchi yetu.


Mtanzania ni mtu makini sana. Ni mbongo. Na ukiona mbwa ama paka anafurushwa seheme ujue amefunua mfuniko wa sufuria enye mboga!

Stop this senseless narratives.

Narudia, hakuna ushahidi wowote ule thabiti ama research iliyofanywa kudai Jamii ya Kitanzania ni ya kikatili.
 
Watanzania wana roho mbaya sana juu ya wanyama. Wakimuona paka ata kama hajafanya kitu wanaanza kumporomoshea mawe wanamfukuza na matusi juu. Halikadhalika mbwa na ndege kama vile kunguru na ndege wengine. Ni nini hasa inachangia Watanzania kuwa na roho mbaya juu ya wanyama ambao ni viumbe visivyokuwa na hatia?
Wana roho mbaya hata kwa bianadamu
 
Back
Top Bottom