Hakuna ushahidi thabiti kuipa mada hii uhalali wa kuwajumuisha Watanzania wote na Ukatili.
Itoshe, tuwakemee na kuwalaani watu wote pamoja na haya magaidi ya mitandaoni, wanaoweka dhana ya Ukatili wa Mtanzania. Wanaipaka matope nchi yetu.
Mtanzania ni mtu makini sana. Ni mbongo. Na ukiona mbwa ama paka anafurushwa seheme ujue amefunua mfuniko wa sufuria enye mboga!
Stop this senseless narratives.
Narudia, hakuna ushahidi wowote ule thabiti ama research iliyofanywa kudai Jamii ya Kitanzania ni ya kikatili.