Hivi kwanini gari aina ya Nissan Murano zinauzwa bei ya kutupwa?

hata mimi sikujua Raum ni gari nzuri, sasa ninaielewa


YESU NI BWANA NA MWOKOZI
 
Sawa kaka
 
Murano ina vizazi vingi sasa sijui unaongelea kizazi gani?
Kizazi cha mwisho 2007 kuna tatizo la gea box ni vizuri kuchukua ya kuanzia mwaka 2010 na kuendelea
 
Pichisha basi tuone muranonsky?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…