Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
nataka SUV sio sedankaka ukiwa na hela nyingi na rumion...mimi ntakuchukulia mchepuko wako kwa premio
hapa namaanisha premio ni nzuri zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nataka SUV sio sedankaka ukiwa na hela nyingi na rumion...mimi ntakuchukulia mchepuko wako kwa premio
hapa namaanisha premio ni nzuri zaidi
huku kwetu hizo premio ni taxi, SUV ndio habarikama tu watu wanavimba na IST ,,,,ukimiliki premio na ukawa unaenda kuangalia mpira viwanja vyenye watoto wa chuo,,,,hakika GONO na UKIMWI watachekelea sana🙂
hata mimi sikujua Raum ni gari nzuri, sasa ninaielewaWatanzania washamba sana ukiwa huna pesa kelele mingi sana, gari ni pesa mara muonekano mara nyoko, Nunua gari tumia pesa Murano hazina shida miaka ya 2012-13-14 watu wakiongea shit sana kuhusu Raum Leo Yako wapi, tumieni pesa, Kila siku mnashinda bar na lodge na mademu uoga wa kishamba
Kwa hiyo Unatugombeza??Watanzania washamba sana ukiwa huna pesa kelele mingi sana, gari ni pesa mara muonekano mara nyoko, Nunua gari tumia pesa Murano hazina shida miaka ya 2012-13-14 watu wakiongea shit sana kuhusu Raum Leo Yako wapi, tumieni pesa, Kila siku mnashinda bar na lodge na mademu uoga wa kishamba
Premio ya pesa kuanzia ngap mkuukama ni chuma yako ya kwanza kumiliki acha kabisa hilo dude....
ongezea pesa kidogo uvute premio ule maisha
NB: Similiki gari ila nina uzoefu mzuri sana wa magari
Sawa kakaWatanzania washamba sana ukiwa huna pesa kelele mingi sana, gari ni pesa mara muonekano mara nyoko, Nunua gari tumia pesa Murano hazina shida miaka ya 2012-13-14 watu wakiongea shit sana kuhusu Raum Leo Yako wapi, tumieni pesa, Kila siku mnashinda bar na lodge na mademu uoga wa kishamba
Hapo ukipata kuanzia 12 utapata chuma safiPremio ya pesa kuanzia ngap mkuu
Pamoja na kodi ama?Hapo ukipata kuanzia 12 utapata chuma safi
Premio ✔️PREMIO AU RUMION kituo kinachofataa hizi ni zaidi ya unyamaaa
Nadhani ni hiyo ya 2007 kushuka chiniMurano ina vizazi vingi sasa sijui unaongelea kizazi gani?
Kizazi cha mwisho 2007 kuna tatizo la gea box ni vizuri kuchukua ya kuanzia mwaka 2010 na kuendelea
Nimemiliki zote mbili.Mimi nipo kwenye utata , Kati ya Nissan Duals na Premiho ipi ipo poa , uwezo wa kuagiza iliyotembea below 50000 miles , yyte Kati ya hzo ninao , nasita kwenye Premiho sababu naona kama ipo down Sana
Pichisha basi tuone muranonsky?Habari za asubuhi wakuu!
Nimejaribu kupitapita kwenye mitandao ya kijamii nikitafuta gari used kwa mtu angalau na mie nipate usafiri hapa mjini.
Nimeona madalali wanapost gari hizi kwa bei ya kutupa, ukizingatia ni SUV na specific sawa na gari kama harrier na Kruger lakini nashangaa kukuta no.D iliyosimama inauzwa mil.6[emoji15]
Au shida ni upatikanaji wa spare?
kama ni chuma yako ya kwanza kumiliki acha kabisa hilo dude....
ongezea pesa kidogo uvute premio ule maisha
NB: Similiki gari ila nina uzoefu mzuri sana wa magari
Aise naikubali sana ...ntaanza nayo life hyo nikipata michuzi mingi naruka na crown athleteUnapenda sana premio mkuu[emoji28]
naam.Premio ✔️
Rumion ❌
Ka premio kamdogo kake Crown kwa tusiyokuwa na maokoto yakutosha kusukuma 2.4L tunaishi na 1.8L😀😀😀 hii gari bhana Premio ijengewe sanamu.Unapenda sana premio mkuu[emoji28]
Ka premio kamdogo kake Crown kwa tusiyokuwa na maokoto yakutosha kusukuma 2.4L tunaishi na 1.8L😀😀😀 hii gari bhana Premio ijengewe sanamu.