Hivi kwanini gari aina ya Nissan Murano zinauzwa bei ya kutupwa?

Kana mbio lakini
Yeah inachanganya fasta sana tho inategemea na dere yukoje kikubwa stability ipo na comfort kiasi chake ipo sio to the maximum kama wakina benz wagon hapana πŸ˜€πŸ˜€ yaani haichoshi na imetulia barabarani kuna sehemu ihumwa kuna hilux alikuwa anaomba kupita namimi nilikuwa nyuma yake sasa ameomba jamaa wa mbele kamkazia mimi nilivyochungulia nikasema ngoja nimtie hasira nikamkata nikarudi kwenye mwendo wa kawaida nikaona jamaa akaona nimemdharau akanila kichwa nikamkuta nane nane πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.
 
Ila utokage huko uje kwenye Benz ya kijapan Toyota crown hutajuta barabarani hata akina lc 200 unawapiga bakora tu na machine imetulia
 
Ila utokage huko uje kwenye Benz ya kijapan Toyota crown hutajuta barabarani hata akina lc 200 unawapiga bakora tu na machine imetulia
Bado boss wangu nina mambo mengi ya kujiweka sawa hapa hapa pananitosha kwanza kuinunua ni bei rahisi kuliko hata hii niliyo nayo ishu ni kuifanya itambe mjini ndiyo kipengere unaweza jikuta unatembea huku unaongea mwenyeweπŸ˜€.
 
Ila utokage huko uje kwenye Benz ya kijapan Toyota crown hutajuta barabarani hata akina lc 200 unawapiga bakora tu na machine imetulia
Woote wachumba,nina VW Golf mnyama 260 cc 1400,kila weekend Dodoma dar,hao kina crown ,Hilux wananichukiaga mashine minazo kula sahani moja ni Ford na ndugu zake wa hitler.karibuni huku jamani nikutamu
 
Kila Nissan wakitoa gari lazima watoe boko tu Nissan xtrail , Nissa Murano , Nissan dualis zote zimeonekana Ni gar za hvyo
 
Kwani dodoma dar si full tank moja tu inaenda
Ambayo ni lita ngapi?? Nilijaribu kumuelewesha jamaa,crown ni takataka mbele ja mjerumani,nikamapa mfano hai kabisa VW polo Vivo,,jiko ni 1400 tu,ila unapata radha na unafuu wa mafuta kuliko crown,ukitoka dar to dom,hakuna gari ya kukutisha kabisa sasa unataka nini.
 
2500 hiyo mbona unapata 12km per liter au wewe unaendeshaje
 
Woote wachumba,nina VW Golf mnyama 260 cc 1400,kila weekend Dodoma dar,hao kina crown ,Hilux wananichukiaga mashine minazo kula sahani moja ni Ford na ndugu zake wa hitler.karibuni huku jamani nikutamu
 
Jemedaree eti ni kweli boss[emoji3][emoji3]

Ni wao tu na insecurity zaoo

Mbona sisi tumepoa na hutuwasemi[emoji23]
Sijui huwa wanaumia nini wakati kila mtu kachagua

Kiukweli mimi ni car enthusiastic

Before kuagiza crown nlifanya research
Nkafanya consultations kwa wataalam kama dr.mechanics, jitu miraba minne na wengine wengi

Na options nlizokuwa nazo ni athletes,Audi A4 na C BMW 3 Series na C- class zote same year

Mwisho nliamua kuchukua Athletes 182 3.0L G package

Humu hakuna kitu nakosa,power,comfortability,luxury
Ni kubwa zaidi gari ni uhakika hata ukiniamsha kesho twende mwanza uelekeo ni petrol stations siwazi[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…