Hivi kwanini Hayati Magufuli aliamua tu kuwa katili bila sababu zozote?

Hivi kwanini Hayati Magufuli aliamua tu kuwa katili bila sababu zozote?

Wakazi wa kijiji cha Kipwa waliongiliwa na maji ya Ziwa Tanganyika wana ushuhuda mzito jinsi Mama Samia alivyowatendea wema. Kile kijiji hakikuwa hata na barabara ya kufika huko ila mama akawajengea.

Na baada ya ile disaster mama aliwajengea zahanati mpya na shule huku wanakijiji wakipewa viwanja bure kujenga makazi mapya. Ni kawaida sana kwa mama Samia kutenda matendo haya ya kibinadamu.
Mtu akiuliza Samia kafanya nini? Unamuuliza kabla ya kukujibu tukae au tusimame hapa hapa 🤣🤣
Mama mtu na nusu nyie.
Mie marehemu sitamsahau Kwa kutoongeza mishahara miaka mitano na kuongeza Makato ya bodi plus utapeli wa retention fee!
Samia Mungu akubariki.
 
Mafuriko ya Mbeya Rais Samia ametoa msaada wote wa kibinadamu.

Serikali imeweka full attention kusaidia wahanga. Nimefarijika sana.

Sasa nikakumbuka lile tetemeko la Kagera.. Magufuli alivyo wakashifu wahanga na kutosaidia chochote.. akasema 'kwani mimi ndo nimeleta tetemeko, fanyeni kazi...' na blabla kibaoo.

Sasa natafakari hapa ni kwanini Magufuli aliamua tu kuwa katili na kuweka ubinadamu pembeni kabisa. Why?

View attachment 2478896
Sadist
 
Mafuriko ya Mbeya Rais Samia ametoa msaada wote wa kibinadamu.

Serikali imeweka full attention kusaidia wahanga. Nimefarijika sana.

Sasa nikakumbuka lile tetemeko la Kagera.. Magufuli alivyo wakashifu wahanga na kutosaidia chochote.. akasema 'kwani mimi ndo nimeleta tetemeko, fanyeni kazi...' na blabla kibaoo.

Sasa natafakari hapa ni kwanini Magufuli aliamua tu kuwa katili na kuweka ubinadamu pembeni kabisa. Why?

View attachment 2478896
Huyu ndio alikuwa President wa kutupeleka kwenye nchi ya ahadi!
 
Comment za huu uzi zimenichekesha sana, Mungu atuepushie kiongozi wa namna ya John maana Watanzania wamejeruhiwa nafsi vya kutosha
 
Mtu akiuliza Samia kafanya nini? Unamuuliza kabla ya kukujibu tukae au tusimame hapa hapa 🤣🤣
Mama mtu na nusu nyie.
Mie marehemu sitamsahau Kwa kutoongeza mishahara miaka mitano na kuongeza Makato ya bodi plus utapeli wa retention fee!
Samia Mungu akubariki.
Baada ya maji ya Ziwa Tanganyika kuingia kijijini baadhi ya watu walipoteza maisha kwa kuliwa na mamba na wengine wakapata ulemavu wa kudumu. Mama alifanya makubwa bila hata kutaka sifa. Nitaandaa documentary kuhusu hili swala kwasababu nina picha za kabla ya mafuriko na baada ya mafuriko. Hata shule aliyojenga nina picha zake.
 
Mkianzisha hizi nyuzi muwe mnawaandaa misukule wake kisaikolojia.Watakufa bure![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

chuki humtoboa anayeihifadhi,kimsingi wanaoumia zaidi ni wanaomzungumzia kuliko wanaomtetea[emoji28][emoji28].

angalia mtu amekaa tu anaamua aanzishe uzi aina hii,ana matundu kiasi gani moyoni!!!!


kwakweli antmagufuli kufeni tu na msongo wa mawazo,asali mmekosa na faraja mmekosa[emoji23][emoji23]
 
Tena Tanzania inatakiwa aje kiongozi mkali kama Hitler au zaidi yake

Ova

[emoji38][emoji38]kuna watanzania aina ya mletamada,rais kama samia nchi haiendi popote hii.

huyu unakuta ni shemeji yake na nape[emoji3]
 
Ilikuwa ni hulka yake ya kuzaliwa, hakuna chochote angewezwa kufanya kuepuka hilo.
Alipaswa kuepukwa.

keshajiondokea zake,bado umasikini na ujinga umefunga ndoa nanyi.

sababi ni ile ile,uvivu na ulegevu.
 
Magufuli alikuwa mshenzi tu bana, mazuri gani alifanya? Mtu ambaye anasema nitawafanya matajiri waishi kama mashetani anaweza akawa na zuri?

Ningemuelewa kama angesema "Nitawafanya maskini waishi kama matajiri"

Hivi kweli inaingia akilini Magufuli anaiba mpaka uchaguzi wa Serikali za mitaa? Kweli hayo ndiyo mazuri? Acheni mzaha, yule ilikuwa lazima aage dunia tu kwa uovu wake

vipi mkuu unalamba asali au unalambwa na asali[emoji28][emoji28].

2025 uchaguzi utapigwa tena,lakini wakati huo utakuwa unakata mauno kwa furaha.
 
Huyo mwamba wako ni motoni tu, hakuna option nyingine. Bila Mungu kuingilia kati sijui nchi hii ingekuwa wapi

Mungu aondoe njaa kichwani kwako airudishe mahali pake,ili akili yako ikufae.
 
Acha kujifanya kichaa wakati uko timamu. Rais wa nchi anasema yeye hakuleta tetemeko so serikali haihusiki na pesa akazichukua bado unatetea ujinga! Tanzania tuna watu wa hovyo sana kama wewe
Magufuli alikuwa mropokaji na ingekuwa uraisi wake unapimwa kwa kauli zake za majukwaani; watanzania mtaani hakuna ambae anamkumbuka leo.

Unaacha legacy kwa kugusa watu directly positively ndani ya muda, kuacha alama za kazi watu wakiona wanasema huyu alikuwa Magufuli na kuwa na huruma na watu wako.

Sasa wewe unaweza jiongopea unavyotaka ila uhalisia ni kwamba huku kitaa mwamba bado anaishi kwenye vichwa vya watu kwa mazuri yake.
 
chuki humtoboa anayeihifadhi,kimsingi wanaoumia zaidi ni wanaomzungumzia kuliko wanaomtetea[emoji28][emoji28].

angalia mtu amekaa tu anaamua aanzishe uzi aina hii,ana matundu kiasi gani moyoni!!!!


kwakweli antmagufuli kufeni tu na msongo wa mawazo,asali mmekosa na faraja mmekosa[emoji23][emoji23]
Angalia sasa unavyoteseka!Mnateswa kiakili mpaka muanze kuongea peke yenu mabarabarani.😜😜😜😜
 
RAIS JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI,THE BEST THERE WAS,THE BEST THERE IS,THE BEST THERE EVER WILL BE,REST IN POWER,MWAMBA.
 
vipi mkuu unalamba asali au unalambwa na asali[emoji28][emoji28].

2025 uchaguzi utapigwa tena,lakini wakati huo utakuwa unakata mauno kwa furaha.
As long as niko hai any role Nita play, this is my country. Shauri yenu misukule ya dikteta wa Chato ambao bado mnamuanudu
 
ndani ya miaka mitano na miezi kidogo aliyokaa ikulu,Rais Magufuli alifanya Mambo makubwa ambayo Marais wa nne kabla yake walishindwa kufanya,kama Rais wa Malawi alivyosema siku ya msiba wake,"No body new Magufuli was coming,and no body new Magufuli was going, Magufuli himself new he had little time,he did everything like he was in a rush to go somewhere,thank you President John Magufuli"

Hakika Mungu alitupa zawadi,na sasa zawadi hiyo ameichukua mfano wa Musa na wana wa israel kutoka misri.
Katika harakati za Musa kumtafuta Mungu arekebishe mambo,Aliinuka Haruni,raia wakamzidi nguvu akawatengenezea ndama sawasawa na matakwa yao(Wengi wape)

Tunamsubiria Yoshua aendelee na kazi,mengine yote ni kipindi cha mpito.Kanaani ni lazima tufike.
 
News za Magharibi ziliandika hivi,

Wale waliolishwa “matango pori kwa habari za kuzusha na kupindisha ukweli, wameshuhudia watanzania wakiandamana kwa boti, mitumbwi, na mashua ili kumsindikiza “Chuma” akienda nyumbani kwake Chato kwa maziko, Ijumaa tarehe 26 Machi 2021.
Watanzania wameomboleza, wakatandaza nguo zao njiani, ili mtu wa haki, aweze kupita katika ukimya, ushuhuda kwamba, kwa hakika, watanzania walimpenda Hayati Dkt. Magufuli kwa upendo wa dhati na moyo mweupe pe, wakamthamini sana. Kwa hakika amejiwekea amana na hazina ya upendo katika nyoyo za watanzania wenzake Dr. John Pombe Magufuli amekuwa ni kiongozi aliyebeba dhamana na wajibu wake wa kuwaongoza watanzania kwa ari, moyo mkuu na utulivu! Akawaonesha watanzania furaha pale walipogusa undani wa maisha yake! Alionesha maisha ya hofu na uchaji wa Mungu na kuwataka watanzania kumpatia Mwenyezi Mungu kipaumbele cha kwanza katika maisha yao. Si rahisi sana kuweza kuorodhesha mafanikio makubwa yaliyopatikana nchini Tanzania katika kipindi cha uongozi wake katika sekta ya ustawi wa jamii na maendeleo ya kiuchumi
 
Magufuli hakuwahi kusafiri nje ya Africa na wala hakupandisha gharama za maisha lakini alifanya yafuatayo.............👇

1. JPM anajenga Reli ya Mwendo kasi – SGR.
2. JPM anajenga Bwawa la Umeme – Nyerere HydroPower.
3. JPM amenunua Ndege 13 aina tofautitofauti.
4. JPM amejenga Ikulu kule Dodoma na yale Magorofa ya Wizara kule Mji wa Serikali Dodoma ( Mtumba) Magufuli City
5. JPM amehamisha Makao Makuu ya Serikali na ameijenga Dodoma imekuwa Jiji
6. JPM amejenga FlyOver Dar es Salaam pale Ubungo na TAZARA.
7. JPM amejenga daraja la Tanzanite pale Selander.
8. JPM ametengeneza huu Mfumo wa Kompyuta wa Malipo ya Serikali.
9. JPM alikuwa anaweka umeme hadi Vijijini (kwa Tsh. 27,000/= tu.)
10. JPM ameshawishi Bomba la Mafuta kutoka Uganda lipite Tanzania.
11. JPM anajenga daraja la Kingongo Ferry Busisi kule ziwa Victoria.
12. JPM amejenga Meli kubwa mbili mbili kila ziwa, yaani Ziwa Victoria 2, Ziwa Tanganyika 2 na Ziwa Nyasa 2.
13. JPM amejenga Hospital za Kanda kubwa nne… Dodoma, Mara, Mtwara, Geita na Songea
14. JPM amejenga Hospitali za Wilaya Zaidi ya 70
15. JPM amejenga Mradi Mkubwa wa Maji ya Victoria kule Tabora
16. JPM amejenga Mradi wa Maji Mkubwa Arusha
17. JPM amejenga Barabara ya Njia Nane Dar es Salaam hadi Kibaha
18. JPM alikuwa anajenga Mizani za Kisasa kabisa Kwenye Barabara zote kubwa
19. JPM amejenga Vituo vya Afya Zaidi ya 500
20. JPM amejenga na Kununua Rada 4 za AirPort
21. JPM amejenga Viwanja vya Ndege Mara, Iringa, Mbeya, Chato, Songea na Rukwa
22. JPM amejenga Masoko ya Madini kila Mikoa yenye migodi ya madini
23. JPM amejenga ukuta wa Mirerani na kuweka Camera za Ulinzi
24. JPM amejenga Bandari Kilwa, na kuzipanua Bandari Mtwara, Tanga na Dar es Salaam
25. JPM amejenga Masoko ya Kisasa zaidi, ya maana kama Dodoma, Morogoro, Dar es Salaam
26. JPM amejenga Bus Stand za Kisasa Zaidi mikoani kama Dodoma, Morogoro, Dar es Salaam
27. JPM amenunua Vifaa Tiba kama MRI, CT Scan, Vifaa vya Kufanyia Oparations za Moyo pale JKCI Wagonjwa wanatoka nchi jirani Kenya,Comoro,Uganda,Msumbiji,Zambia na Malawi,kuja kutibiwa,Ahsante Rais Magufuli.
 
Mkuu

Kama unamuona Hivyo Bas chama Serikali na Taifa KWA UJUMLA tumefeli kulea VIJANA!


Yule ni matokeo ya malezi YETU!

Kama tukiendeleza UPIGAJI na UFISADI kina jpm wengi watazaliwa!!


Mungu ibariki Tanzania
 
Kwanini mnawaza ufisadi tu muda wote kwani hao serikali mara ngapi wanakula Hela kwa kuongeza thamani ya miundombinu. Daraja la billion 5 utaambiwa billion 20 eti Leo hii ndio mnawaamini kuliko mchango wakipewa wananchi directly??

Pesa ingeweza isitoshe lakini ukarabati au temporary shelter pesa ingetosha kuliko watu kulala nje eti kisa serikali haikuleta tetemeko. Acheni kutetea ujinga, alifanya Yale sababu walimkataa 2015 na kuwapa upinzani kura za kumwagika halmashauri na ubunge juu. Ingekua Geita asingeropoka Yale maneno.
Wewe Serikali kuamisha mafungu ya pesa za maafa ni jambo la kawaida labda kama mna chuki na Magufuli, juzi Serikali ya Samia ilikopa fedha IMF kusaidia waanga wa Covid, baada ya kuwasaidia hao waanga zikapelekwa kujenga madarasa na Zahanati, mbona hatukuwahi kusikia izo kelele?
 
Back
Top Bottom