Kungekuwa hakuna biashara ya bima ya makazi duniani kama serikali inawajibika kwenye natural disasters kuwajengea nyumba au kufanya repairs on the aftermath.
Sikiliza hiyo clip vizuri nyumba karibu 800 zilibomoka na 1200 zenye nyufa. Hiyo michango aikufika ata billioni 1, umjengee nani umwache nani kwa mchango huo.
Halikadhalika serikali kwa wajibu wake ilitimiza upande wake kwenye kuokoa watu, kutoa matibabu ya bure kwa wenye bima na wasio na bima. Ilipeleka madaktari bingwa wa ziada kutoka mikoa mengine na kufikisha vifaa vya dharura including chakula, magodoro na michango mingine, ilishiriki kuwatafutia watu makazi ya muda and so forth.
Kuna shule ziliaribika ambazo serikali ilikarabati, barabara na infrastructure zingine ambazo ni jukumu lao.
Hiyo speech ya Magufuli ilikuwa ni kama mwezi mmoja au mitatu baadae akawaambia ukweli kama kuna watu wanasubiri nyumba za kujengewa hazipo au unasibiri chakula cha serikali wakati mvua zinanyesha utasubiri sana.
Lakini sio kwamba awakutimiza wajibu wao, ata nchi za wenzetu hasa zenye maeneo ya wildfire moto ukiondoka na nyumba yako serikali itatenga jengo la muda la kuhifadhi watu. Ila ujue hiyo ni temporary solution baada ya hapo ni wewe na insurance yako, huna nenda shelter (wakusaidie) vinginevyo you are homeless huo ndio uhalisia.