Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Nani aende jehanamu au peponi, ni mamlaka yake Mungu wetu, na hakuna ajuaye nani ataenda wapi. Lakini ukweli ni kwamba marehemu hakuwa na tofauti na mfalme Herode aliyewaangamiza watoto wote wa kiume waliokadiriwa kuwa na umri unaofanana na Kristo Masiha, kwa hofu ya kupoteza ufalme.