King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Kikwete atakumbukwa na wakazi wa jangwani,mkwajuni na kigogo wakati wa Floods wakapewa viwanja bure.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una matatizo ya akili.Alijaribu kumuua Tundu lissu risasi 37 kapiga mtu hafi Mungu huyu matokeo yake kafa yeye huku kazungukwa na wanajeshi na vifaru.
Kumbe unamlinganisha na Magufuli ndio kipimo cha ubora wake Samia?Kama kudhulumu pesa za watu, kuteka raia, kubambikizia watu kesi za uhujumu uchumi na kufukuza watu kazi kwa visasi ndo mambo makubwa basi Mama Samia hawezi kumzidi Magu.
Vyeti fake vikisikia Mwamba anabagazwa vinatoka nduki kujifarijiRest well mwamba John Pombe Magufuli
HAPA KAZI TUU
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Rais wetu Samia Suluhu Hasan
KAZI UENDELEE
Nitajie mradi mmoja tu mama yenu alioufanya nazidi ya ile filamu yake isiyokua na muelekeo... Magu ndiye rais Bora so far Hadi Sasa tangu Tanzania ianzeMafuriko ya Mbeya Rais Samia ametoa msaada wote wa kibinadamu.
Serikali imeweka full attention kusaidia wahanga. Nimefarijika sana.
Sasa nikakumbuka lile tetemeko la Kagera.. Magufuli alivyo wakashifu wahanga na kutosaidia chochote.. akasema 'kwani mimi ndo nimeleta tetemeko, fanyeni kazi...' na blabla kibaoo.
Sasa natafakari hapa ni kwanini Magufuli aliamua tu kuwa katili na kuweka ubinadamu pembeni kabisa. Why?
View attachment 2478896
Hivi kwaakili yako ya kawaida kabisa mke wa Tundu Lissu na watoto wake watampenda magufuli? Achilia mbali binadamu wengine sisi wa kawaida. Sema bila unafiki .Na ndio wengi ambao wanapiga kelele
Mtu ambae ulikuwa unapata hela yako Kwa haki uwez kumchukia magufuli
Najua huwa hampendi kuelezwa haya yanaumiza lakini ndio ukweli lazima tuuseme. Pole sanaUna matatizo ya akili.
Ukisoma majarida au kufuatilia historia za zamani huko Duniani, inasemekena kuna viumbe vilitembelea Dunia toka Sayari nyingine vinaitwa sijui alien, vikatili... hv huyu sio mmoja wao kweli alibakia huku?!!!Ukila nyama ya mtu huwezi kuacha, kabla hajawa Rais alikuwa ana furaha kubwa sana kubomoa majengo ya watu ili apitishe barabara, akiona watu wanalia machozi na kuzimia, roho yake inasuuzika
Gamboshi...Ukifanya utafiti utagundua kwamba eneo alilotokea ndio linaloongoza kwa ukatili barani Africa , wana asili ya unyama , mauaji ya albino na vikongwe wenye macho mekundu yameasisiwa huko
Anamuinua ili ampeleke wapi?Mungu anazidi kumuinua Magufuli hata akiwa katika hali ya umauti.
Tukubali tusikubali Magufuli alikuwa ni mgonjwa wa akiliMafuriko ya Mbeya Rais Samia ametoa msaada wote wa kibinadamu.
Serikali imeweka full attention kusaidia wahanga. Nimefarijika sana.
Sasa nikakumbuka lile tetemeko la Kagera.. Magufuli alivyo wakashifu wahanga na kutosaidia chochote.. akasema 'kwani mimi ndo nimeleta tetemeko, fanyeni kazi...' na blabla kibaoo.
Sasa natafakari hapa ni kwanini Magufuli aliamua tu kuwa katili na kuweka ubinadamu pembeni kabisa. Why?
View attachment 2478896
Alikua na tatizo la akili. Baadaye kidogo akatuma msaada wa chakula kwenye maafa ya kimbunga zimbabweMafuriko ya Mbeya Rais Samia ametoa msaada wote wa kibinadamu.

Vyeti fake vikisikia Mwamba anabagazwa vinatoka nduki kujifariji
We mzee msomi una amini mtu akifa anaenda mbinguni?
Kuzidi Alshaab?Ukifanya utafiti utagundua kwamba eneo alilotokea ndio linaloongoza kwa ukatili barani Africa , wana asili ya unyama , mauaji ya albino na vikongwe wenye macho mekundu yameasisiwa huko
Acha kujitoa ufahamu kitengo Cha maafa kipo miaka mingi sana na kina bajeti watu wanalipwa mishahara huko ndio kilipaswa kitoe msaada kwenye maafa kama Yale.Hiko kitengo cha maafa lini uliwahi kusikia kimefanya anything?
Sijui kama ulikuwa umezaliwa wakati jangwani imejaa maji mpaka watu wakaja na boti za wavuvi kutoka feri
Achana na mambo ya makaratasi,
Magu alisema ukweli na alifanya ukweli
Alijenga barabara zilizoharibika na mvua na alijenga hospital zilizoharibika na tetemeko
Hakujenga nyumba ya mtu
Karibu pande hiziWe mzee msomi una amini mtu akifa anaenda mbinguni?