zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Hapana wale ni wabunge tu ambao ni 0.000000001 ya waTanzania wote so wao kulalamika ni sawa maana maslahi Yao yameguswa. Ila Kwa Raia wa kawaida sikuona aliyemkosoa Lissu kwa hotuba Ile in fact alipo clarify ndio akajiongezea political mileage zaidi. Ila Imagine kwenda chato kwa Rais aliyepo madarakani alafu ukamuita DIKTETA na FISADI!! unadhani nchi kama Uganda au DRC pasingetokea machafuko??Huo sio uelewa, nilitaka kushangaa kwamba watanzania hawa hawa wawe waelewa!!
Halafu la kumkosoa Nyerere nakumbuka Lissu alivyomkosoa Nyerere bungeni watu walimuona kamkosea heshima baba wa Taifa.
WaTanzania ni waelewa sana no wonder JPM alitutukana sana watu wa Mara kuwa hatuletei maji Wala barabara sababu hatuichagui CCM ila tulikaa kimya bila kurusha Jiwe. Kama sio uelewa ni Nini?