zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Kivipi Kenyatta na Museveni waguswe na kadhaa Ile alafu Rais aseme hawezi toa msaada sababu serikali haikuleta tetemeko? Kwani Kenyatta aliyesaidia alileta tetemeko? Mbona Kuna kitengo Cha maafa kazi yake ni Nini kama serikali haipaswi kufidia majanga Ile bajeti Ina kazj Gani?Sasa hapo ukatili uko wapi?
Shida yenu hamtaki kuambiwa ukweli na magu alikuwa anawaambia ukweli ambao nyie hamtaki kusikia
Mnataka kusikia uongo wa kwenye makaratasi Tu, serikali imetoa Bilion 10, au serikali imetoa trilion 5
Ukienda site hakuna kitu
Sasa si Bora magu alikuwa anasema ukweli?