Unachanganya wilaya na mikoa, rudi ukasome upya.Hii huchangia sana katika kuifanya Tanzania kuwa maskini wa kutupwa, wilaya kuubwa hadi mkuu wa wilaya anamaliza miaka hajawahi kuitembelea yote, halafu mambumbubu ya CCM yanaona hii ni sifa.
Sikiliza wewe, aina ya uongozi wa counties za Kenya ulivyo, ni sawa na kabisa na uongozi wa states za USA.Acha kukariri ujinga. Ngoja nikuelimishe kidogo. USA counties sio 52, hizo ni states. Kuna tofauti kubwa kati ya counties na states. Kenya ni state kama k.m. California ambayo ina county 58!
Alafu naona umesema GDP ya Kenya ni $70Billion ilhali unajua vizuri kwamba Kenya ilishafikia $99Billion na hata hiyo $70B Tz bado. Ila sijaelewa mbona umetumia GDP wakati kwenye ule uzi wa GDP ulisema kwamba GDP haimaanishi chochote. [emoji1]
Kenya- 47 County (Gorvernor incharge)Acha kukariri ujinga. Ngoja nikuelimishe kidogo. USA counties sio 52, hizo ni states. Kuna tofauti kubwa kati ya counties na states. Kenya ni state kama k.m. California ambayo ina county 58!
Alafu naona umesema GDP ya Kenya ni $70Billion ilhali unajua vizuri kwamba Kenya ilishafikia $99Billion na hata hiyo $70B Tz bado. Ila sijaelewa mbona umetumia GDP wakati kwenye ule uzi wa GDP ulisema kwamba GDP haimaanishi chochote. [emoji1]
Sikiliza wewe, aina ya uongozi wa counties za Kenya ulivyo, ni sawa na kabisa na uongozi wa states za USA.
1) USA ina Federal Government chini ya Trump. Kenya Central government chini ya Uhuru
2)USA wana states zikiongozwa na Governors, na Bunge la states zikiongozwa na Senators, Kenya inatumia neno counties zikiongozwa na Governors na mabunge yakiongozwa na Senators.
Yaani nchi zote zinatumia mfumo wa serikali mbili, Serikali kuu na serikali za majimbo. Onyesha ni counties zipi za USA chini ya States zenye serikali kamili zinazochaguliwa na wananchi wakati wa uchaguzi MKUU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti Kenya kuna 52 counties na USA wana 47 states? Gorvernor ndio nini tena. Aiseee, you must be an illiterate bumpkin.Kenya- 52 County (Gorvernor incharge)
Usa - 47 State (Gov incharge)
Population usa 300m
Population kenya 45m
Hizo county unaongelea za usa ni sawa na subcounties ( wards) in kenya ambazo ni karibu 2000..
revenue collection ya nairobi ni kiasi gani uki compare na other kaunti ? au ni kaunti gani ambayo ina revenue kubwa hapo kenya ? ...kama nairobi sio kaunti yenye revenue kubwa bac kuna UDHAIFU kwa wakusanya mapato wa iyo kaunti au bunge la kaunti ni DHAIFU ktk kubuni vyanzo vya mapato ya KAUNTI may be !! embu niambie kaunti hapo kenya zinajiendeshaje ? yaani ni nn vyanzo vyake vya mapato ? au vyenyewe vinategemea mgao toka serikali kuu ? TELL US
very TRUE mm pia niliona interview moja PLO Lumumba akilalamikia huu mfumo wa kaunti na kimtazamo wake alisema kama lengo ni UGATUZI kama mnavyoita huko Kenya bas nuo mfumo ni GHALI...Sasa hivi Tayari mnalalamika kwamba "punda amechoka", mzigo umekua mkubwa mnataka kubadilisha tena constitution ili kupunguza matumizi ya serikali, wasomi kama Prof. Lumumba na Dr.Ndii wamesema huu mfumo haufai kwa nchi masikini kwasababu ni ghali sana, ila watu poyoyo kama ninyi mnatetea kwasababu tu serikali ni wakikuyu na Kalenjin.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti Kenya kuna 52 counties na USA wana 47 states? Gorvernor ndio nini tena. Aiseee, you must be an illiterate bumpkin.
Hahahahaha, umeshindwa mujibu hoja unaanza kuuliza maswali ya kitoto. Senators wanaongoza nini?
revenue collection ya nairobi ni kiasi gani uki compare na other kaunti ? au ni kaunti gani ambayo ina revenue kubwa hapo kenya ? ...kama nairobi sio kaunti yenye revenue kubwa bac kuna UDHAIFU kwa wakusanya mapato wa iyo kaunti au bunge la kaunti ni DHAIFU ktk kubuni vyanzo vya mapato ya KAUNTI may be !! embu niambie kaunti hapo kenya zinajiendeshaje ? yaani ni nn vyanzo vyake vya mapato ? au vyenyewe vinategemea mgao toka serikali kuu ? TELL US
Hahahahaha, umeshindwa mujibu hoja unaanza kuuliza maswali ya kitoto. Senators wanaongoza nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha sasa ndugu ! ivi ukizungumzia wealth ktk level ya kiutawala wa mikoa au izo kaunti lzm uangalie makusanyo ya mapato ya ndani ya mkoa au iyo kaunti...ndio maana mfano huku tz ukitoa tu utaala wa JPM mikoa au wilaya inakuwa na vyanzo vyao vya mapato ukiachilia na gawio toka serikali kuu lkn lzm ile LGA pia iplay role ya kuleta maendeleo ktk sehemu husika mfano ujenzi wa miundombinu na e.t.c ..sasa ndio maana nikakuomba embu elezea kaunti hapo KE zinajiendeshajeYou weren't talking about revenues, you were talking about wealthiness.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio kichaa, huwezi kutetea mfumo wenu ambao wakenya wote wanaona ni mzigo wanataka referendum ili kuufumua upya, 52% ya pato la nchi linalipa 2% ya population. Nchi gani hiyo eti hadi Governor analindwa na walinzi watano 24/7 unategemea nini?
hahaha sasa ndugu ! ivi ukizungumzia wealth ktk level ya kiutawala wa mikoa au izo kaunti lzm uangalie makusanyo ya mapato ya ndani ya mkoa au iyo kaunti...ndio maana mfano huku tz ukitoa tu utaala wa JPM mikoa au wilaya inakuwa na vyanzo vyao vya mapato ukiachilia na gawio toka serikali kuu lkn lzm ile LGA pia iplay role ya kuleta maendeleo ktk sehemu husika mfano ujenzi wa miundombinu na e.t.c ..sasa ndio maana nikakuomba embu elezea kaunti hapo KE zinajiendeshaje
Wewe ndio kichaa, huwezi kutetea mfumo wenu ambao wakenya wote wanaona ni mzigo wanataka referendum ili kuufumua upya, 52% ya pato la nchi linalipa 2% ya population. Nchi gani hiyo eti hadi Governor analindwa na walinzi watano 24/7 unategemea nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
NEXT TIME BRO ACHA URONGO alafu jua dunia ni KIJIJI everything is on our hands ..embu jaribu kusoma hii link alafu ukatafute wa kumdanganya..
NEXT TIME BRO ACHA URONGO alafu jua dunia ni KIJIJI everything is on our hands ..embu jaribu kusoma hii link alafu ukatafute wa kumdanganya..
Nation - Breaking News, Kenya, Africa, Politics, Business, Sports | HOME
Nation.Africa brings the Latest News from Kenya, Africa and the World. Get live news and latest stories from Politics, Business, Technology, Sports and more.www.nation.co.ke
Real talkHahahahaha USA with population of 300M, and GDP of $18 trl, it has only 52 States/Counties. Kenya with population of 45M, encroached with poverty, with GDP of $70B, out of which 62% is owned by only 10,000 citizens, it has 47 counties. Failed state indeed.
Sent using Jamii Forums mobile app