thisdayes
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,610
- 4,556
Unachanganya wilaya na mikoa, rudi ukasome upya.Hii huchangia sana katika kuifanya Tanzania kuwa maskini wa kutupwa, wilaya kuubwa hadi mkuu wa wilaya anamaliza miaka hajawahi kuitembelea yote, halafu mambumbubu ya CCM yanaona hii ni sifa.
Sent using Jamii Forums mobile app