MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Niko nje ya mada kidogo.. kwanini nikienda kuwatembelea watu wangu makwao huwa wanasisitiza niingie tu hivyohivyo na viatu bila kuvua? Je, ni ukarimu wao au kuna la zaidi?Nlikua naangalia chanzo cha tatizo π
Nina soksi nilinunua pair moja shilingi 5000 mwaka 2019 mpaka leo zipoView attachment 3198594
Hivi kwanini kila soksi ninazonunua zinaisha hivi hata miezi 3 haifiki? π‘π‘π‘ Ni mimi tu au nitafute soksi za chuma??? Kwa sababu nimechoka!
aise!,View attachment 3198594
Hivi kwanini kila soksi ninazonunua zinaisha hivi hata miezi 3 haifiki? π‘π‘π‘ Ni mimi tu au nitafute soksi za chuma??? Kwa sababu nimechoka!
Haaa kumbe nilikua sijui kumbe tukiwasema mashoga vibaya kuna watu mnaumia sana namna hii na bado mpaka siku mtu ajinyonge mtaani ndio watapata akili kuwa ushoga ni kuasi jamiii na haikubaliki hata kidogoMara nyingi watu mnaoona kila kitu ni ushoga ndo huwa mashoga waliokubuhu