WapuuuziAcha kutetea ujinga. Kilichofanywa na timu lenu kuanzia kuikataa logo nyekundu ya vodacom na sasa kubadili logo ya timu nyingine ni ujinga sana kwa dunia ya sasa.
Unadhani kuandika gazetini ndo utaeleweka, angalia leo kwenye page ya Yanga kuelekea game ya leo ndo tunachomaanisha..hiyo taarabu peleka kwenu[emoji23]
Let us agree not to agree.Hivi mambo ya viongozi wa mpira Tanzania kuwa ni watu wa Simba mbona umeshikilia bango hivi? Kama ingekuwa hivyo ungekuwa hapo ulipo kwenye msimamo wa VPL?
Acha kujitoa fahamu mkuu, wewe tunajadili mambo ya soka toka kitambo hapa, huyo anakushika sikio bado hajaelewa mada yetu hapo ubaoni, ana akili finyu
Narudia tena, kwa mfano bendera ya China, nchi ya Tanzania wanaweza kuinakishi kwa rangi ya Kijani, na China wakaridhia? naomba unijibu, tufunge mjadala.
Hatutaki na kama mnaweza na nyie wekeni logo za wapinzani kwenye ma cover mekundu. Kama hamuwezi kausheniTumia akili kufikiri, kisha jenga hoja zenye mantiki, hapajasemwa jezi za Yanga zikae doa jekundu, suala ni logo za timu pinzani zinavyoboreshwa na picha tumeweka hapo
Mnakwama wapi mbona mada ipo wazi?
Sisi Yanga siyo Chelsea wala Man U. Kwani ushaona Man U au Chelsea ni mbumbumbu?Vile hauelewi mambo ya logo anayosemea mleta mada, hivi ulishawahi kuona chelsea amecheza na Man u[emoji22][emoji22] halafu logo ya man u , ikachalazwa blue tuu
Baki na maelimu yako tuachie Yanga yetu. Hii timu no kubwa kuliko timu zote nchini hivyo acha iratibu mambo yake itakavyo nyie fuatisheni tu!Elimu, Elimu, Elimu
Ndio kila kitu ,
Wao wacheze mpira waifunge Yanga hayo malogo yao yakibadilika hayana madhara sana mana uhalisia wake unajulikana. Hata hivyo ukiondoa Yanga,Azam na mbumbumbu FC timu zingine hazijiendeshi kibiashara. Wacha tu tuchezee logo zaoMkuu hatuzungumzii kubadilika kwa matokeo ya mechi, tunazungumzia kubadilisha nembo au logo ya timu zingine.
Hako katimu kako hakajui masuala ya biashara kupitia nembo yake wewe umetoa wapi hayo mawazo!? Mikia a.k.a mbu×3 bwana!!Mimi ni shabiki wa MBEYA City (timu ya nyumbani) na ndio maana nikaweka kiambatanisho hapo juu. Nembo ya timu yetu ninayoijua haina rangi hiyo pichani. Na Nadhani huu ndio msingi wa hoja iliyopo mezani. Je, hili (kuweka nembo timu katika rangi isiyostahiki) lina uhusiano gani na GSM au Vodacom mkuu kama ulivyotuhumu hapo juu ?
Ndiyo, timu gani ukiondoa Azam, Yanga baba lao na mbumbumbu FC inayojiendesha kibiashara kupitia hayo manembo mnayosema?Umeelewa kinachoongelewa?
Kwani kipi kiliharibika baada ya hayo mabadiliko? Hata viongozi wa timu hizo hawakulalamika!Sawa, hata kama ni utaratibu ambao umekuwapo kwa miaka na miaka (kwa mujibu wa madai yako) ila ni utaratibu mbovu.
Nimekuambatanishia hapa chini logo sahihi za timu ya Simba, Alliance na Iringa United na zilipostiwa kwenye official instagram page ya hiyo hiyo Yanga. Sijui ni kipi kiliharibika.
View attachment 1358066View attachment 1358065View attachment 1358067
Hujaelewa rudia vizuriNdiyo, timu gani ukiondoa Azam, Yanga baba lao na mbumbumbu FC inayojiendesha kibiashara kupitia hayo manembo mnayosema?
Ungeanza kusimama kukemea tff na marefa kuibeba simba kwanza ndo uongee hili. Siyo rangi Bali mkithubutu kuweka hata doa jekundu tu kwenye logo yetu tutawameza.Kuna wakati lazima tusimame kama wadau wa kandanda nchini, tukiachia mbali ushabiki, ndo maana tulitoa mifano ya rangi ya logo ya Mbeya City na Ruvu Shooting.
Mkuu acha mahaba yasiokuwa na maana, hivi leo Simba SC awe mwenyeji wa mchezo halafu waweke rangi nyekundu logo ya Yanga ni sahihi?
Anabusu nembo siyo hayo marangi yakoHata kama jambo ujui uliza kwanza kuliko kuleta ujinga katikati ya waelewa.
Kwenye Logo kila kitu kinatafsiriwa Kwenye katiba sasa wewe unasemaje rangi hazina maana. Kwa nini msingekua mnaweka rangi nyekundu Kwenye Logo ya Yanga ka rangi hazina maana?
Logo ndo identity ya taasisi. Ndo mana hata mchezaji hua anabusu logo sio jezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbumbumbu asipoelewa hapa basi mwache na umbumbu wake!Sikiliza kaka.Rangi sio logo.Tafuta matangazo mengi kama 10 hivi ya kampuni tofauti tofauti tofauti.Kisha angalia logo zinafanana kwa kila kitu hasahasa rangi.Jibu ni HAPANA. Nakupa mfano mdogo tu.Logo halisi ya azam tv anayeonesha VPL ni maneno azam ni mekundu kisha neno TV ni rangi blue kisha kuna ile naweza kusema alama ya Tik iliyokama paa la maneno Azam tV ni rangi ya blue pia.
Sasa ukija kwenye baadhi ya situation utaona azam wanatumia logo hii(AZAM TV) ikiwa meupe yote)angalia picha hapa chini.Lakin official logo ni ile yenye maandishi nyekundu na blue.lakin baadhi ya situation utaona logo yote nyeupe.si ajabu pia kuona logo hii ya azam Tv ni nyeusi yote.
Lakin ukweli unabaki kuwa logo ya azam haijabadilika inabaki ileile. Sasa kama kuna kitu bado sijaelewa basi nielimishe kakaView attachment 1358203View attachment 1358204
Sent using Jamii Forums mobile app
Je,logo ile iliyoko kwenye jezi ya mbeya city ndo logo ya vodacom,Mbona ni nyeupe?
Sent using Jamii Forums mobile app