mwananyaso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,995
- 3,401
Unaitaka ushahidi gan zaidi,hujui huyo ni adui wa taifa?Kwa siku kadhaa sasa nikipitia humu JF naona jina la January Makamba linatajwa sana, hasa kwa mabaya. Lakini cha kushangaza watu hao wanaomsema kwa mabaya hawana ushahidi wowote...
Baba yetu wataifa alishatufundisha kuwa kujenga hoja sio kupayuka bila data zozote. makamba ni mtanzania mwenzetu kama ulivyo wewe na famili yako, leta ushahidi hapa aliwapiga vipi ili tukuone kama sio mpika majungu tu kaa wengine, acheni hizo hiziwasaidii loloteTuna kumbukumbu mbaya dhidi ya huyu Kigogo14 wenu.
Kwanza alikopa mahela kupitia mgongo wa wana Bumbuli na akawapiga na hata huko Benki nadhani bado anadaiwa...
Ukweli kuna jingine mkuu, lipo haswaa! Siku zote mtu akizidiwa akili na ujanja basi hukimbilia kwenye chuki kwa aliyebarikiwa. Makamba yuko vizuri sana na hilo ndo tatizo kwa wachawi wengi humu, na nikwambie tu kuwa baadhi ya wachawi hao humu ni vigogo wenzie wenye ndoto fulani hv......anao bungeni, anao kwenye baraza lao la mawaziri.Kwa siku kadhaa sasa nikipitia humu JF naona jina la January Makamba linatajwa sana, hasa kwa mabaya. Lakini cha kushangaza watu hao wanaomsema kwa mabaya hawana ushahidi wowote...
Adui wa taifa kabakia skeleton huko kuzimu, Mungu wenu sukuma ganUnaitaka ushahidi gan zaidi,hujui huyo ni adui wa taifa?
Nawewe mtetee Mungu wenu wa chatttleHata wewe hapa umelipwa ili uje kumtetea hapa.
Maiti ipi ?Nawewe tetea maiti yenu ifufuke
Ni wapi umeona kamtetea, kasema makamba apewe muda tuone matokeo sio kumuhukumu mapema. Uongozi sio mchezo ndugu yangu mangine huwa nimajungu tu kupakana matope hii hali inapaswa kukemewa kwa kila mtu mwenye mapenzi mema na taifa letu. Chuki zikiendelea hivi kuna siku tutakuja kuuanaHata wewe hapa umelipwa ili uje kumtetea hapa.
Sukuma gang ni sawa na mfu, hawana ufahamu tangu mungu wao apigwe mweleka,hasira zenu mnamalizia kwa kukesha kumtukana Rais na makamba jrMaiti ipi ?
Mti wenye matunda bora ndio hupigwa maweKwa siku kadhaa sasa nikipitia humu JF naona jina la January Makamba linatajwa sana, hasa kwa mabaya. Lakini cha kushangaza watu hao wanaomsema kwa mabaya hawana ushahidi wowote.
Kitu kingine ambacho sikielewi ni kwamba huyu kijana amekuwa waziri kwa takribani miezi mitatu sasa lakini watu wanataka mambo yabadilike ki miujiza bila ya kumpa nafasi ya kuleta mabadiliko.
Hii inapelekea mimi kujiuliza, hivi hawa watu ni kweli wanachukia utendaji wake au kuna jingine?
Hata kuongea anaongea yale aliyokaririshwa.Mpiga dili anaeusaka urais kwa kila njia asie na uwezo wowote kiutendaji zaidi ya kubebwa na kila awamu.
Nikishakupa utafanya nini?Tupe ushahidi wa hizo dili alizopiga
Kisafi hakisafishwi ni kichafu ndio huwa kinasafishwa.Ukweli kuna jingine mkuu, lipo haswaa! Siku zote mtu akizidiwa akili na ujanja basi hukimbilia kwenye chuki kwa aliyebarikiwa. Makamba yuko vizuri sana na hilo ndo tatizo kwa wachawi wengi humu, na nikwambie tu kuwa baadhi ya wachawi hao humu ni vigogo wenzie wenye ndoto fulani hv......anao bungeni, anao kwenye baraza lao la mawaziri.
Hamumuwezi makamba, period!Kisafi hakisafishwi ni kichafu ndio huwa kinasafishwa.
Huyo hata apewe miaka mia sita hatabadilisha chochote zaidi ya kufanya ufisadi tuAcha kuwa mjinga basi ni wapi umeona kamtetea, kasema makamba apewe muda tuone matokeo sio kumuhukumu mapema. Uongozi sio mchezo ndugu yangu mangine huwa nimajungu tu kupakana matope hii hali inapaswa kukemewa kwa kila mtu mwenye mapenzi mema na taifa letu. Chuki zikiendelea hivi kuna siku tutakuja kuuana
Sukuma gang ni nyinyi wenyewe huko mnagombani Mikate na wakojaniSukuma gang ni sawa na mfu, hawana ufahamu tangu mungu wao apigwe mweleka,hasira zenu mnamalizia kwa kukesha kumtukana Rais na makamba jr
Wa kukuamini wewe tena baada ya tukio lile wamebaki wachache sana.Mti wenye matunda...
January Makamba, very intelligent, humble, down-to-earth! Can make the best President
Watch Clouds 360 Degrees Live , January Makamba yuko Live. January Makamba, akiongea, anaonekana yuko very intelligent upstairs kwa sababu anaonyesha ana think kabla ya kuongea. Kuna baadhi ya viongozi wetu, I doubts kama wana think kabla hawajaongea ndio maana kiwango cha upayukaji kwa awamu...www.jamiiforums.com PJanuary Makamba Top The List of Most Interactive Politician in Tanzania!
Wanabodi, Leo nimepata fursa ya kuangalia Top Ten ya Most Interactive Politicians in Social Media. Mhe. January Makamba ndio amekwaa No. 1!. Hii ni kwa mujibu wa makala ya Top Ten iliyotangazwa na Clouds TV. Wengine na positions zao ni kama ifuatavyo... 1. January Makamba 2. Zitto Zuberi...www.jamiiforums.com
Kaka usipende ku generalize vitu unakosea tena sana, utendaji wa wizara hautegemei mtu mmoja tena waziri ambae ni msimamia sera tu na utekelezwaji. Makamba hana professional ya mambo ya nishati ila ana moral authority ya kusimamia uwajibikaji.Huyo hata apewe miaka mia sita hatabadilisha chochote zaidi ya kufanya ufisadi tu
Hapa aliyumba kweli kumsagia kunguni mzee Magu, hawa viongozi kuna haja yakupewa semina elekezi hata na raia wenye maono nje ya mfumo ili wasiendelee kupanda chuki, hapa makamba alitereza kuendeleze chuki za kijinga kutafuta huruma kumbe ndio anajikaanga mwenyewe. Viongozi wajue haya nimaisha ya watu wasibebeshane zigo la mavi panapotokea changamotoTatizo aliingia wizarani kwa kumsulubu Magufuli kuwa hakuwahi kukarabati mitambo ya TANESCO, hili kosa litagharimu sana.