Hivi kwanini Mabasi kutoka Dar kwenda Mpanda, Katavi yanazuiwa kuendelea na safari yakifika Sikonge, Tabora?

Mimi kuwa kiazi au magimbi au muhogo wala siyo kesi, so its really quite irrelevant and immaterial to call me that. Kujilinganisha sisi na Marekani ni sawa na kama alivyopenda kusema Mzee wetu Mwinyi huwezi kulinganisha Mlima Kilimanjaro na Kichuguu. Narudia tena tuachane na habari za zamani eti huko kuna mapori watu walikuwa wanatekwa na majambazi, lets forget about that and focus on present and future. Leta hapa your positive thinking, yaani assume kama wewe ndiye kiongozi unatakiwa ulete solution kwa unaowaongoza uataendelea kung'ang'ana na hayo mawazo ya kizamani kwamba oooh watu wanatekwaa oooh kuna mapori makubwaa blaa blaaa blaaa?
 
Ni kukurupuka tu mbona siku zote utaratibu huo haukuwepo?hata mwaka jana mwanzoni nimetoka dar asubuhi nimefika mpanda saa 11 alfajiri na MAJINJA BUS?!!
Jinjah boy ni muhuni
Kitu mshikamano, saa Sita upo Mizengo Pinda
 
Jinjah boy ni muhuni
Kitu mshikamano, saa Sita upo Mizengo Pinda
Mshikamano wamempiga fitna sijui maana ameachia ngazi na amechomoa Bus zake.....Kiukweli kuna vitu vya ajabu sana kuna siku (December Mwaka jana) Mshikamano alileta Bus mbili kuja Mpanda maana abiria walikuwa wengi. Sasa asubuhi Bus zote mbili zina abiria pale stend wanataka kuondoka Bus moja ikazuiwa eti haiwezekani kampuni moja kuondoa Bus mbili kwa mpigo, Bus moja ikazuiwa kuondoka ile saa 12 asubihi daah.
 
The world is full of good people, if fou can't find one, then be one
You did well with you colleagues
 
uwe unaelewa,KAZI ya jw siyo kuokota korosho Wala kulinda barabara,KAZI Yao ni kulinda mipaka ya nchi
Hivi wewe na mimi nani mwenye kichwa kigumu? Hivi unaelewa maana ya maneno...''Majukumu yako ni 1,2,3 na majukumu mengine kama utakavyopangiwa na mkuu wako/Kiongozi wako?? Anyway naweza kuwa nabishana na mtu ambaye hata hajawahi kuajiriwa. Unadhani JPM alivyowaelekeza JW waende kwenye korosho au majukumu mengine, yeye kama amiri jeshi mkuu hajui majukumu yao ila wewe ndiye mjuaji??
 
Majinjah mshenzi sana, Ana fitina za kiboya wakati mabasi yake mabovu
 
jpm siyo kielelezo Cha utawala Bora,jwtz siyo jeshi la kupambana na ujambazi
 
jpm siyo kielelezo Cha utawala Bora,jwtz siyo jeshi la kupambana na ujambazi
SG sasa umekubali kwamba siyo kielelezo cha utawala bora siyo? Anyway mifano ipo hata kwenye tawala za nyuma but i wont bother to give coz you wont understand...
 
Mpanda patamu sana...Mtaa wa fisi ...mtaa wa Simba ..zedigital...kwa Manka....shuka kule kichangani...na ule mtaa live band yaani pisi mpaka buku halafu grade 1 ya chienyeji.....

Ikola....Mwese...Katuma...Kayenze...Karema...Kasekese ...Majimoto...nk
We jamaa, 🤣🤣🤣 unapajua kote huko
We ni kiboko
 
SG sasa umekubali kwamba siyo kielelezo cha utawala bora siyo? Anyway mifano ipo hata kwenye tawala za nyuma but i wont bother to give coz you wont understand...
It's you who don't understand bro
 
Kauli moja tu ya RPC inatosha kuwamaliza hao wahuni kwamba vyombo vya ulinzi na usalama vimeshindwa kudhibiti hao wahuni?
 

Hapo hata ufike saa 12 jioni. Ila bado tupo zama za giza.

Kangi lugola apewe hata ukuu wa mkoa hapo. [emoji3][emoji3]
 
. Soma ulichoandika, ndani yake umeandika sababu tena ya msingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…