Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Yamekukut MzeeMara nyingi unakuta maisha ya wengi ya hawa maanko na mashangazi ni full usanii na janjajanja za mjini.
Wanatafuta fursa ya kujineemesha kwa fursa yoyote itakayotokea hata kama ni kifo cha mwana familia aliye na wategemezi (mke na watoto) wao bado watatafuta namna almradi wafaidike na msiba huo pasipo kujali maslahi ya familia ya marehemu.
Hawa watu wana shida gani?
At one point Kila mtu atakua uncle au shangazi...kwaio unataka Maanisha?Mara nyingi unakuta maisha ya wengi ya hawa maanko na mashangazi ni full usanii na janjajanja za mjini.
Wanatafuta fursa ya kujineemesha kwa fursa yoyote itakayotokea hata kama ni kifo cha mwana familia aliye na wategemezi (mke na watoto) wao bado watatafuta namna almradi wafaidike na msiba huo pasipo kujali maslahi ya familia ya marehemu.
Hawa watu wana shida gani?
Hao ni ndugu wa familia za kimasikini. Nyumba moja na gari moja tayari wanamuona kaka/dada yao tajiri..Mara nyingi unakuta maisha ya wengi ya hawa maanko na mashangazi ni full usanii na janjajanja za mjini.
Wanatafuta fursa ya kujineemesha kwa fursa yoyote itakayotokea hata kama ni kifo cha mwana familia aliye na wategemezi (mke na watoto) wao bado watatafuta namna almradi wafaidike na msiba huo pasipo kujali maslahi ya familia ya marehemu.
Hawa watu wana shida gani?
sana mkuuYamekukut Mzee
eti enheeHao ni ndugu wa familia za kimasikini. Nyumba moja na gari moja tayari wanamuona kaka/dada yao tajiri..
vim3o🤣ila mashangazi sasa😐
Ngoja na wewe uwe uncle ndio utaelewa...Mara nyingi unakuta maisha ya wengi ya hawa maanko na mashangazi ni full usanii na janjajanja za mjini.
Wanatafuta fursa ya kujineemesha kwa fursa yoyote itakayotokea hata kama ni kifo cha mwana familia aliye na wategemezi (mke na watoto) wao bado watatafuta namna almradi wafaidike na msiba huo pasipo kujali maslahi ya familia ya marehemu.
Hawa watu wana shida gani?
🤣🤣🤣Ngoja na wewe uwe uncle ndio utaelewa...
wew bado?Yamekukut Mzee
Ni visirani balaa ila ndio tabia za ke wengivim3o🤣
liweke hivyohivyo hata kama ni lamoto limeze sindikiza na maji...🤣Hao ma anko na shangazi,wengine wanawaita baba mdogo/mkubwa,mama mdogo/mkubwa...sasa sijui tuliwekeje hili