Hivi kwanini mara nyingi maanko na mashangazi wengi hawajanyooka?

Hivi kwanini mara nyingi maanko na mashangazi wengi hawajanyooka?

Mara nyingi unakuta maisha ya wengi ya hawa maanko na mashangazi ni full usanii na janjajanja za mjini.

Wanatafuta fursa ya kujineemesha kwa fursa yoyote itakayotokea hata kama ni kifo cha mwana familia aliye na wategemezi (mke na watoto) wao bado watatafuta namna almradi wafaidike na msiba huo pasipo kujali maslahi ya familia ya marehemu.

Hawa watu wana shida gani?
Maanko wapi na mashangazi wapi?
Maana kila mtu kwa namna moja au nyingine ni Uncle au Aunt wa fulani.

In that case, tuseme watu wote tu hatujanyooka.
 
Back
Top Bottom