Hivi kwanini matajiri wakubwa hapa Tanzania ni wahindi na waarabu tu?

Hivi kwanini matajiri wakubwa hapa Tanzania ni wahindi na waarabu tu?

Wanafanya hivyo kwakuwa hapa sio kwao. Nyumbani kwao ni India ambapo wana majumba makubwa kuliko haya yenu.
Sisi watanzania hapa ni kwetu ndo maana tunajenga nyumba popote pale.
Huwezi ishi kwa kuiga wakati wao wanajisitiri kwa muda badae wanaondoka.
Mkuu wahindi hawajengi kwao hata siku moja wao hununua majumba UK na Canada..Wakiondoka ndo wameondoka huwa hawarejei huko India kwenye umasikini kiongozi.Hakuna mhindi eti likizo anaenda India bali Toronto au London.
Watu weusi hatuna discipline na pesa, mweusi hata aishi wapi management ya pesa ni very poor..waangalie akina Tyson, Mayweather et al..ukija bongo angalia hao wapigaji na matumizi yao show off nyingi za kijinga tu. Huwezi kuta mhindi au mwarabu anafanya upumbavu kama wa papaa msoffe au ndama mutoto wa ng'ombe.
 
Mkuu wahindi hawajengi kwao hata siku moja wao hununua majumba UK na Canada..Wakiondoka ndo wameondoka huwa hawarejei huko India kwenye umasikini kiongozi.Hakuna mhindi eti likizo anaenda India bali Toronto au London.
Watu weusi hatuna discipline na pesa, mweusi hata aishi wapi management ya pesa ni very poor..waangalie akina Tyson, Mayweather et al..ukija bongo angalia hao wapigaji na matumizi yao show off nyingi za kijinga tu. Huwezi kuta mhindi au mwarabu anafanya upumbavu kama wa papaa msoffe au ndama mutoto wa ng'ombe.
mkuu dizain ya Papa Musofe na Ndama wapo kila Nchi. Sema huwez kufanyia Sjow off nchi ya kigeni. Hata India tinasikia Harusi za mabilion zikifanyika.

Bado kuna hoja za kujenga kuhusu kwa nn Indian na Arabs hapa bongo ndo wanakimbiza
 
Napenda sana huu msemo
IF WE UNIT,NOBODY FAILS

Wabongo hatupendani,full kusilibiana,full kuzibiana yani anaona bora ampe ngozi nyeupe kuliko mweusi mwenzie,
Wenzetu wanaumoja sana
Yawezekana ndo laana yetu
 
Soma historia vzr utapata jibu mdau. Slave trade in east and central Africa......"Tipu Tipu" wengi wao wamerithi mali toka kwa wazee wao ambao kwa njia moja au nyingine walishiriki ktk biashara ya utumwa hii ni kwa upande wa Waarabu. Wahindi wao walikuwa mawakala wa Waarabu ktk biashara zao mbali mbali utumwa ukiwa miongoni. Hii ndy sababu kubwa ya Waarabu kuwa matajiri husani ktk nchi nyingi za Africa ambazo ziliathirika na utumwa.
Mkuu me naon 2achan nafikra mgando km izoo kwakwel iy sio hoja yamsingi kuwemo ktk vichw vye2 kwnz unauhakika hasaa km biashara iy waliiendesha wao naukiachia mbal ilo baada ya nchi zetu kutoka kweny makucha yawakoloni weng wao zlitaifishw malizao na mbn sasa wao ndio wnaongoza ktk kpatoo tatzo ltu kwmb cc ha2na umoja namashirikiano hta ktk familia ztu knyume nawao wnavosaidiana naku2nza familia zao....
 
Wengi ni wapambe tu ,wamewekwa front na wanasiasa kuficha umiliki wao.
 
Mieusi ukipata viji cent kidogo tena vya mkopo kazini, kwa kujinyima sana, na ki pick up chako cha mawazo, ukaongezea kisomo mama yangu, sasa wataanza uzushi , mara mtoro, mara mfanyakazi hewa! mara cheti feki, wakati wahindi ndiyo kwanza wanapongezana.M\

Mke wako mama watoto wako yuko tayari atembee na Boss wako kazini ili ufukuzwe kazi, sometimes kukuletea ukimwi kabisaaa maksudi! ili ufe au utaabike! jamani sisemi mengi hii inafanyika kwasiri sana. jamani ptyuuu
 
Weusi hatuna nidhamu ya kazi hasa watz..tuna shida kubwa sana..ujanja ujanja wa kihuni...sio waaminifu pia.
 
Hello,

Ukiangalia forbes list ya richest people in tz, yani mwafrika yuko mmoja tu (Reginald Mengi), kama sio wawili (ukiongeza ali mufuruki). Tena mufuruki hela zake za mashaka mashaka.

Hata ukiangalia tanzania millionaires you should know, forbes ilitaja top 10 yoote ni wahindi/waarabu kuanzia mmiliki wa lake oil, hivi hawa wahindi benki zetu pamoja na sisi tunawapendelea sana, waafrika tunalogana wenyewe, au wametuzidi tu tekniki za biashara, coz mwafrika huwez kwenda india, or china utajirikie kule..ni vigumu sana.

So mm naona probably the richest, black person in east and central africa ni reginald mengi tu, hivi vitajiri vingine vya kiafrika vinakokota vumbi.

Hawa wahindi wana technic gani?? au wanatuibia hapa hapa tukiwa tunajiona, u cant make millions of dollars easily kwenye nchi ambayo mmmh lazma ukwepe kodi, uibe etc..heb jaman nipen ufafanuz
Historia inachangia,
Ukiambiwa taja maprofesa watano wamakuwa,wandengereko,wazalamo,sijui utapata wangapi?
Lakini ukiambiwa taja maprofesa 20,wahaya,Wachaga,Wanyakyusa,wapo kibao tu.
 
Nimeipenda sana hii thread na nikupongeze kwa kufikiria hili mkuu labda niseme ili atakaebahatika aone na ajifunze.Nimebahatika kukaa karibu na Wahindi mwaka wa tatu sasa kwasababu Shemeji yng aliemuoa dadangu ni Muhindi kwahiyo nimepata kujifunza mengi sana kwa kuwa nipo karibu nao kiukweli hawa watu ni wajanja sana kupita kiasi lakini pia wana malengo sana kwenye biashara tena ya muda mrefu na pia wana nidhamu ya pesa sana nimegundua hakuna watu wabahili kama wahindi tena ni matajiri lkn cha kushangaza ni Wabahili kupita kiasi yaani hawanunui kitu mpaka wakihitaji sana na kama ukimuona Muhindi anaenjoy ujue kashawekeza sana na ana uhakika hatoanguka kibiashara na si kila siku anaenjoy unaweza kukuta ni mara moja kwa mwaka then hawa watu unaowaona leo ni matajiri ujue wamerithi kutoka kwa babu zao walikuja kutoka India hawana kitu walianza biashara ndogondogo then ikawa inakua wakazaa watoto wakawakuta baba zao wameikuza biashara then watoto wataoa then watazaa watoto hao wajukuu watakuta ile biashara imekua kubwa sana imagine tangu ile biashara ianzishwe ni miaka 60 yaani Babu alianzisha mjukuu anaikuta biashara kubwa kwahiyo hapati tabu kuiendeleza.Unajua ndugu wana JF ugumu ni kuanza kuikuza biashara lakini ikifika hatua fulani ni rahisi sana kutengeneza mamilioni ya Fedha kwa mfano-: Ulianza biashara na milioni 5 baada ya miaka 10 una mtaji wa milioni 200 je kufikisha mtaji milioni 1000 ni ngumu jibu sio ngumu.Kitu kingine nilichokiona hawa watu wanasaidiana sana nimeshuhudia baadhi ya wahindi wanatoka India wanakuja kwa Wahindi wenzao ambao ni matajiri wanawaajiri wanawalipa mshahara mara 10 ya waajiriwa wengine hata kama hawana elimu.Na wanawafundisha watoto wao jinsi ya Kuhandle biashara ili isife lkn Leo utamkuta Mwafrica akifungua biashara tu akaanza kuingiza pesa basi starehe nyingi wanawake anabadilisha kama nguo anadharau ndugu zake matokeo yake biashara inamshinda. Ndugu wana JF mtu yeyote ambae ni mfanyabiashara tajiri amepitia changamoto nyingi sana lkn hawakukata tamaa na biashara ni somo pana sana.Halafu kitu kingine nilichokiona kwa hawa watu ni Kuishi pamoja babuna bibi watoto wao na wake zao na wajukuu zao wote wanakaa nyumba moja hii pia ni Siri ya mafanikio yao kwanza inapunguza gharama za maisha pili inaleta baraka ndani ya nyumba na hata chakula wanapika pamoja na wanakula meza moja wote wao na wake zao na baba zao na mama zao hata na wajukuu zao ila mabinti wakiolewa huwa wanaondoka kwenda kwa mume.Nimechoka kuandika lkn nina mengi niliyojifunza kupitia hawa watu na naendelea kujifunza kila kukicha kupitia hawa watu coz nipo karibu nao

Sent from my HUAWEI Y625-U32 using JamiiForums mobile app
hii n nzur sana nmejifunza wabongo hatunaga succession plan kwny biashara zetu. mtu anafungua biashara ili imfaidishe yy peke yake. ndo mana makampun mengi ya kibongo akifa mmiliki bas na kampun inakufa kwa sababu wote walobaki hawaelewi chochote kuhusu ile biashara.

pili kibongo bongo kuishi na ndugu wengi kias hcho ndo chanzo cha migogoro.

endelea kutupa madini kutoka kwa wahindi, mana ni nadra sana kukutana nao hawa watu ukaongea nao mawili matatu.
 
Biashara za waafrika walio wengi hazisomeki. Pesa wanazungusha kwenye biashara in cash zikizidi wanachimbia chini, records hawaweki, biashara hawaweki kwenye mitandao, wapo simple hawataki kujionyesha, wanaishi kama middle class lakini wako worth billions. Akishtukizia anaenda dukani ananunua VX ya 300m cash. Wapo wengi sana Tanzania. Forbes hawawezi kuwafaamu. Subiria watoto wao wakiridhi hizo Mali uone mlipuko wa mabilionea waafrika kwenye Forbes sababu hawa wengi watatamba sana nakujionyesha alafu watafilisika
sio kwamba matajir wa kiafrica wapo simple No, ni kwamba Wanaogopa figisu za serikali zao. maana viongoz wa africa wakiona raia ana utajiri mioyo inawachoma knoma yan
 
Hello,

Ukiangalia forbes list ya richest people in Tanzania, yani mwafrika yuko mmoja tu (Reginald Mengi), kama sio wawili (ukiongeza Ali Mufuruki). Tena Mufuruki hela zake za mashaka mashaka.

Hata ukiangalia Tanzania millionaires you should know, forbes ilitaja top 10 yoote ni wahindi/waarabu kuanzia mmiliki wa lake oil, hivi hawa wahindi benki zetu pamoja na sisi tunawapendelea sana, waafrika tunalogana wenyewe, au wametuzidi tu tekniki za biashara, coz mwafrika huwez kwenda india, or china utajirikie kule..ni vigumu sana.

So mm naona probably the richest, black person in east and central africa ni reginald mengi tu, hivi vitajiri vingine vya kiafrika vinakokota vumbi.

Hawa wahindi wana technic gani?? au wanatuibia hapa hapa tukiwa tunajiona, u cant make millions of dollars easily kwenye nchi ambayo mmmh lazma ukwepe kodi, uibe etc..heb jaman nipen ufafanuz
Sio Tanzania tuuuu, karibia Africa yote ni watu weupe ndio matajiri
 
Waafrika wanathamini sana watu weupe. Ili tatizo alipo hapa Afrika tu, Bali pia Ulaya. Angalia maduka yote yanayouza nywele na mawigi Ulaya wamiliki ni watu wa wapo!! Halafu wanunuaji asilimia kubwa ni waafrika!!!
 
Na akisema awashirikishe watoto wanakuwa vichwa maji kuchota pesa na kwenda kuhonga mademu,starehe kwa wingi na kusaka umaarufu mjini.
Majina yote ataitwa yeye.
Ngozi nyeusi, ni ngoma, ngoma, uchawi na ubinafsi(mzazi anajijali yeye na mahela yake), kamwe hatuwezi fanikiwa
 
Uko sahihi mkuu.
Mambo mengine mazuri ya kutoka kwa wahindi nitawaiga.
Lakini ujinga wa kuacha kujenga halaf nikaishi kwenye flats za kariakoo siwezi kufanya.
Wanafanya hivyo kwakuwa hapa sio kwao. Nyumbani kwao ni India ambapo wana majumba makubwa kuliko haya yenu.
Sisi watanzania hapa ni kwetu ndo maana tunajenga nyumba popote pale.
Huwezi ishi kwa kuiga wakati wao wanajisitiri kwa muda badae wanaondoka.
 
Wamekulia mazingira ya Biashara, Wameanza kushiriki kwenye biashara za familia wakiwa wadogo Sana, Wana nidhamu ya Pesa...wanajua kuiongeza maradufu zaidi!! Sio kwamba sisi wabongo hatuwezi ila Wa-Bongo hawapendani,hawaaminiani...Ukiwaachia watoto wa kibongo mali na biashara kubwa ndani ya miaka mitano watakuwa washafilisika!
 
Sijui wahindi..ila waarabu wengi matajiri ni poachers..kubali kataa..wamemaliza faru wote..Bi mkubwa wengu aliniambia miaka ya 70s faru walikuwa wanaonekana mbugani kama nyati tu...
 
hii n nzur sana nmejifunza wabongo hatunaga succession plan kwny biashara zetu. mtu anafungua biashara ili imfaidishe yy peke yake. ndo mana makampun mengi ya kibongo akifa mmiliki bas na kampun inakufa kwa sababu wote walobaki hawaelewi chochote kuhusu ile biashara.

pili kibongo bongo kuishi na ndugu wengi kias hcho ndo chanzo cha migogoro.

endelea kutupa madini kutoka kwa wahindi, mana ni nadra sana kukutana nao hawa watu ukaongea nao mawili matatu.
umesahau kingine kuroga na kurogwa wee! hasa akileta mi mama ya kambo hapo sasa. wanakula kufirisi tena bila kunawa
 
Back
Top Bottom