Brig General Carlitos Way
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 1,601
- 3,658
Mkuu wahindi hawajengi kwao hata siku moja wao hununua majumba UK na Canada..Wakiondoka ndo wameondoka huwa hawarejei huko India kwenye umasikini kiongozi.Hakuna mhindi eti likizo anaenda India bali Toronto au London.Wanafanya hivyo kwakuwa hapa sio kwao. Nyumbani kwao ni India ambapo wana majumba makubwa kuliko haya yenu.
Sisi watanzania hapa ni kwetu ndo maana tunajenga nyumba popote pale.
Huwezi ishi kwa kuiga wakati wao wanajisitiri kwa muda badae wanaondoka.
Watu weusi hatuna discipline na pesa, mweusi hata aishi wapi management ya pesa ni very poor..waangalie akina Tyson, Mayweather et al..ukija bongo angalia hao wapigaji na matumizi yao show off nyingi za kijinga tu. Huwezi kuta mhindi au mwarabu anafanya upumbavu kama wa papaa msoffe au ndama mutoto wa ng'ombe.