Hivi kwanini miaka ya hivi karibuni Wanawake wengi wanajifungua kwa kisu (oparesheni)?

A

Anonymous

Guest
Napenda kupata uelewa zaidi kutoka kwa Wananchi na wadau husika wa sekta hii... Kwanini kipindi hiki idadi kubwa ya wamama wanajifungua kwa kisu (oparesheni) yaani katika Asilimia 100, kati yao 40% wanajifungua salama (bila kisu) na 60% au zaidi hujifungua kwa kisu.

Hiyo ni tofauti na miaka ya nyuma kwani shida ipo wapi au wataalamu wamezidi ujuzi au ndo njia ya kupatiapo ujuzi badala ya panya (specimens) kuwa chache au adimu au ndo utaratibu mpya?

...suala hili linanifikirisha sana naomba unisaidie kisambaza kwa Jamii...Nimefanya tafiti zaidi katika Mkoa wa Geita.
 
Kuna sababu nyingi sana ...wanawake hawataki mashine zao zitanuke, Uzembe kipindi cha ujauzito., malinda hawana kwa hiyo kupush mtoto inakuwa haiwezekani na hosptal zetu nazo ni chanzo maana kuzalisha kwa operation wanapata pesa si chini ya laki 3
 
Kuna mambo mawili.
1. Kuna wale wanaodanganywa au kushawishiwa na madaktari/manesi kuwa kujifungua kwa kisu ni njia salama, na isiyo na uchungu.
Hawa wanafanya hivyo kwa tamaa ya fedha, maana operation ni pesa nyingi.

2. Wengine wanataka wao kwa kudai kuwa, kujifungua kwa njia ya kawaida watamchakaza haraka bi kidude.
 
Wapo ambao wanatunza mbunye ya baba, kuna ambao zinawaweka mjini!!

Ila wanasahau tu kuwa mbunye ni maumbile binafsi coz kuna ambao hawajazaa bado ila njia pana balaaa

Kuna ambao wamezaa watoto Zaid ya hata wanne ila mbunye ndogo km tundu la sikio 👂😆
 
Kuna sababu nyingi sana ...wanawake hawataki mashine zao zitanuke, Uzembe kipindi cha ujauzito., malinda hawana kwa hiyo kupush mtoto inakuwa haiwezekani na hosptal zetu nazo ni chanzo maana kuzalisha kwa operation wanapata pesa si chini ya laki 3
Hmm kaka watu wasingejifungua, laki 3? Labda private!
 
Wanaume acheni kufanya assumptions, kujifungua kwa c-section haina uhusiano na kuepuka kuharibu uke, kuna watu wana tanuru zao tu hata bika kujifungua kawaida! Na ukijifungua kawaida unarudi vilevile!

Changamoto za operation zinatokea na unapewa sababu ya kujifungua kwa operation! Ukiwaambia unauwahi uchungu au kuogopa kutanua njia watakusikiliza pia kwa sababu utawaongezea pesa! Ila hakuna ukweli katika hilo!
 
With due respect, hapo siyo sawa. Sisi wanaume ndiyo tunajua, siyo nyinyi wanawake katika hili. Akiwa katika hali ya kawaida utaona ni kama kawaida, utelezi ukianza, mambo yanabadilika. Tumeyaona mengi.

Pamoja na yote hayo, mimi ni mshabiki wa C-section kwa vile inalinda maisha ya mzazi na mtoto wake. Watoto wengi wanaathirika na kutowajibika kwa Wakunga wakati mama akitaka kujifungua. Vifo vya mama na watoto vingi vimetokana na uwajibikaji wa wakunga. Kusema za ukweli hali ilivyo ni bora kujifungua kwa operation kuliko kawaida
 
I can’t agree with you anymore!
 
Back
Top Bottom