Ni sawa maana Ukweli kama huu huwezi kuupata kwa age mate! Na Huwezi kufanya utafiti bila optimal sample size ili kukwepa statistical bias. Tuishie hapoI can’t agree with you anymore!
.kuu hiyo namba moja itakua sahii na hiyo namba mbili nakupinga kwasababu Wanawake wengi wanaogopa kuzaa kwa operation na tena sikuhizi wengi wao wanakufa. Kuzaa kwa operatin ni mateso kwa Mwanamke anaweza akapata madhara mengi, Wanawake wengi waapenda kujifungua kawaida kwasababu operationi kwenye hospital binafsi ni pesa nyigi San, nahisi labda Madaktari wanapenda kufanya operation ya uzazi bila sababu ya muhimu. Kuna jirani yangu Mtoto wake wa kike alikua mjamzito alikua anampatia mafawa yakienyeji ya kunywa na kuongea ili hasijifungue kwa operation.Kuna mambo mawili.
1. Kuna wale wanaodanganywa au kushawishiwa na madaktari/manesi kuwa kujifungua kwa kisu ni njia salama, na isiyo na uchungu.
Hawa wanafanya hivyo kwa tamaa ya fedha, maana operation ni pesa nyingi.
2. Wengine wanataka wao kwa kudai kuwa, kujifungua kwa njia ya kawaida watamchakaza haraka bi kidude.
Siyo kweli mbona kule Zanzibar wanawake hawana marinda na wanajifungua kawaida.Mkuu, unataka kusema wanawake wengi siku hizi hawana malinda?
Kama sababu mojawapo kati ya nyingi ulizozitoa.
Nimesema nakubaliana na wewe kupitiliza! LolNi sawa maana Ukweli kama huu huwezi kuupata kwa age mate! Na Huwezi kufanya utafiti bila optimal sample size ili kukwepa statistical bias. Tuishie hapo