A
Huo ndoo ukweli wenyeweOperation ni pesa zaidi
Aisee hiyo Aya ya mwisho hiyo hapo, fala wewe😀Wapo ambao wanatunza mbunye ya baba, kuna ambao zinawaweka mjini!!
Ila wanasahau tu kuwa mbunye ni maumbile binafsi coz kuna ambao hawajazaa bado ila njia pana balaaa
Kuna ambao wamezaa watoto Zaid ya hata wanne ila mbunye ndogo km tundu la sikio 👂😆
Mkuu, unataka kusema wanawake wengi siku hizi hawana malinda?malinda hawana kwa hiyo kupush mtoto inakuwa haiwezekani
Hmm kaka watu wasingejifungua, laki 3? Labda private!Kuna sababu nyingi sana ...wanawake hawataki mashine zao zitanuke, Uzembe kipindi cha ujauzito., malinda hawana kwa hiyo kupush mtoto inakuwa haiwezekani na hosptal zetu nazo ni chanzo maana kuzalisha kwa operation wanapata pesa si chini ya laki 3
With due respect, hapo siyo sawa. Sisi wanaume ndiyo tunajua, siyo nyinyi wanawake katika hili. Akiwa katika hali ya kawaida utaona ni kama kawaida, utelezi ukianza, mambo yanabadilika. Tumeyaona mengi.Wanaume acheni kufanya assumptions, kujifungua kwa c-section haina uhusiano na kuepuka kuharibu uke, kuna watu wana tanuru zao tu hata bika kujifungua kawaida! Na ukijifungua kawaida unarudi vilevile!
Changamoto za operation zinatokea na unapewa sababu ya kujifungua kwa operation! Ukiwaambia unauwahi uchungu au kuogopa kutanua njia watakusikiliza pia kwa sababu utawaongezea pesa! Ila hakuna ukweli katika hilo!
I can’t agree with you anymore!With due respect, hapo siyo sawa. Sisi wanaume ndiyo tunajua, siyo nyinyi wanawake katika hili. Akiwa katika hali ya kawaida utaona ni kama kawaida, utelezi ukianza, mambo yanabadilika. Tumeyaona mengi.
Pamoja na yote hayo, mimi ni mshabiki wa C-section kwa vile inalinda maisha ya mzazi na mtoto wake. Watoto wengi wanaathirika na kutowajibika kwa Wakunga wakati mama akitaka kujifungua. Vifo vya mama na watoto vingi vimetokana na uwajibikaji wa wakunga. Kusema za ukweli hali ilivyo ni bora kujifungua kwa operation kuliko kawaida