Hivi kwanini miaka ya hivi karibuni Wanawake wengi wanajifungua kwa kisu (oparesheni)?

Kiukweli Kuna wakati inabidi, mfano mke wangu tuna watoto watatu, wa kwanza kawaida, wa pili kisu, mtoto alikaa vibaya japo wote tulitaka azaliwe kawaida ila ilishindikana, mpaka dk wangu akaongea na madaktari bingwa muhimbili na kcmc wakashauri Kwa usalama ni kisu, watatu akazaliwa kawaida.

Hizi mambo za marinda ni propaganda, asilimia 90 ya operation ni za lazima. Pia zamani watu waliojifungua ni wachache, mwaka tu 2002 tulikuwa milioni 30 Leo tumedabo, mwaka 1961 tulikuwa around mil8.
Hivyo zamani wajawazito walikufa sana, sana
 
.kuu hiyo namba moja itakua sahii na hiyo namba mbili nakupinga kwasababu Wanawake wengi wanaogopa kuzaa kwa operation na tena sikuhizi wengi wao wanakufa. Kuzaa kwa operatin ni mateso kwa Mwanamke anaweza akapata madhara mengi, Wanawake wengi waapenda kujifungua kawaida kwasababu operationi kwenye hospital binafsi ni pesa nyigi San, nahisi labda Madaktari wanapenda kufanya operation ya uzazi bila sababu ya muhimu. Kuna jirani yangu Mtoto wake wa kike alikua mjamzito alikua anampatia mafawa yakienyeji ya kunywa na kuongea ili hasijifungue kwa operation.
 
Ni sawa maana Ukweli kama huu huwezi kuupata kwa age mate! Na Huwezi kufanya utafiti bila optimal sample size ili kukwepa statistical bias. Tuishie hapo
Nimesema nakubaliana na wewe kupitiliza! Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…