Hivi kwanini mitume na manabii wanawachezea sinema waumini wao? Enyi waumini msiokuwa na akili ni nani aliwaloga?

Hivi kwanini mitume na manabii wanawachezea sinema waumini wao? Enyi waumini msiokuwa na akili ni nani aliwaloga?

Chikenpox

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2022
Posts
784
Reaction score
1,246
Hebu fikilia m hungaji kama mwamposa anwaambiaga waumini kwamba kunywa pombe ni dhambi na Wala wasiguse kabisa waumini lakini yeye ana hoteli ya kitalii mahala flani (sipataji) na mle ndani anauza pombe, whisk, konyagi, K-Vant, Vodka, Pushkin, nk na wataleja ni wengi sana.

Sasa mbona tunauziana dhambi kama kweli anaamini ni dhambi! Pili kwa Nini hakufilia kutumia sadaka ya waumini kujenga vituo vya afya, hospitali nk ili kusaidia yatima nk badala yake yeye anahenga mahoteli tu na ukizingatia Hana hata jengo la kuabudia.
 
Kwanza ungeleta ushahidi ndio tuendelee kujadili,leta ushahidi wa risiti uliyonunulia hio pombe ikionyesha jina la hoteli, au leta picha ya pombe ikiwa kwenye shelf za hoteli.

Mbili,Leta ushahidi kwamba Sadaka ndio zimejenga hio hotel.
 
Kifupi tu ni kwamba dini ya ukristo imekua ikichezewa sana mpaka inafikia steji inaonekana kama ni biashara na sio huduma ya kiroho. Waislam wako strict sana na Imani Yao. Huwezi kukuta mtu anajiita Mungu, Mtume, nabii nk.
Kuwa strict maana yake nini? kuwakataza watu kufanya wanavyotaka kwa kutumia nguvu au sheria?

Binafsi, sioni sababu ya kuhangaika na watu wa sampuli hiyo, ndio maana Yesu licha ya kujua watakuja manabii wa uongo, lakini hakuhangaika kuhimiza ziwekwe sheria za kuwazuia.

Wacha kama walivyo, mwisho wa siku magugu na mpunga vitatengenishwa.
 
Kwanza ungeleta ushahidi ndio tuendelee kujadili,leta ushahidi wa risiti uliyonunulia hio pombe ikionyesha jina la hoteli, au leta picha ya pombe ikiwa kwenye shelf za hoteli.

Mbili,Leta ushahidi kwamba Sadaka ndio zimejenga hio hotel.
Mi sijasema popote kwamba sadaka ndo zimejengwa hotel
Kuwa strict maana yake nini? kuwakataza watu kufanya wanavyotaka kwa kutumia nguvu au sheria?

Binafsi, sioni sababu ya kuhangaika na watu wa sampuli hiyo, ndio maana Yesu licha ya kujua watakuja manabii wa uongo, lakini hakuhangaika kuhimiza ziwekwe sheria za kuwazuia.

Wacha mwisho wa siku magugu na mpunga vitatengenishwa.
Yesu alisema mkiwaona manabii wa uongo, ua
 
Kanisa moja katoliki na la mitume
Una tofauti gani na hao wafuasi wa mwamposa ?
6c9d3-sam_1627.jpg
DSC_0790.JPG
 
Hakuna ujanja ujanja. Ni so principled na ni kanisa la mungu siyo la mtu. Umeshawahi kusikia Kuna mtu anamiliki kanisa katoliki? Hata papa akizingua tunamchomoa
Kanisa unalosali wewe unaita la Mungu ila la wenzako sijui la shetani?

Una ushahidi gani kuwa kanisa lako ni la Mungu? Na ni Mungu yupi?
 
Kanisa unalosali wewe unaita la Mungu ila la wenzako sijui la shetani ?

Una ushahidi gani kuwa kanisa lako ni la Mungu ? Na ni Mungu yupi ?
Kwa sababu lilianzishwa na Mungu mwenyewe kule Yerusalem.Kanisa halikuanzia Madrid au London au Stockholm,au Michigan,au New York,au Lusaka,au Nairobi,au New Delh,au Dar es Salaam,au Mwanza,au Porto bali Yerusalem.
 
Kwa sababu lilianzishwa na Mungu mwenyewe kule Yerusalem.Kanisa halikuanzia Madrid au London au Stockholm,au Michigan,au New York, au Lusaka, au Nairobi, au New Delh,au Dar es Salaam, au Mwanza, au Porto bali Yerusalem.
Unaelewa maana ya Roman Catholic Church?
 
Back
Top Bottom