Hivi kwanini mitume na manabii wanawachezea sinema waumini wao? Enyi waumini msiokuwa na akili ni nani aliwaloga?

Hivi kwanini mitume na manabii wanawachezea sinema waumini wao? Enyi waumini msiokuwa na akili ni nani aliwaloga?

Niko mbele yako kwenye kufikiria na kutenda, umeona nimeshakufunga mdomo kwa andiko hapo juu, ndio ikabidi ule kona[emoji1787][emoji1787]

Futa hizo picha za watu unazotembea nazo kwenye simu yako, usizojua unatembea nazo za nini🫣🫣
Acha kujichekesha chesha kama mtu mpumbavu, umeona kuna mahali nimeandika andika mimi hapo kuabudu sanamu au mihemko yako ndio inakutuma hivyo ?

Tuliza kichwa soma uelewa, usikurupuke kujibu.
 
Kama shetani alijaribu kumrubuni Yesu amsujudie, atashindwa kweli kuwatumia watu kujipenyeza na kunajisi kweli ya Mungu kwa mgongo wa mchungaji, mtume, nabii? kumbuka kwamba imeandikwa kuelekea siku za mwisho kutakuwa na ongezeko kubwa la manabii wa uongo ambao watafanya maajabu makubwa hata kuwarubuni wateule.
 
Back
Top Bottom