ASIWAJU
JF-Expert Member
- Nov 18, 2022
- 1,938
- 1,632
Acha kujichekesha chesha kama mtu mpumbavu, umeona kuna mahali nimeandika andika mimi hapo kuabudu sanamu au mihemko yako ndio inakutuma hivyo ?Niko mbele yako kwenye kufikiria na kutenda, umeona nimeshakufunga mdomo kwa andiko hapo juu, ndio ikabidi ule kona[emoji1787][emoji1787]
Futa hizo picha za watu unazotembea nazo kwenye simu yako, usizojua unatembea nazo za niniš«£š«£
Tuliza kichwa soma uelewa, usikurupuke kujibu.