Hotel haitoi huduma , hotel ni biashara ya faida , angejenga hospital au shule hizo zinagusa jamii nzima na sio selected watu , na hotel pia haipo chini ya waumini ipo chini yake yeye kama yeyeHiyo hotel inatoa huduma kwa jamii na wala sio ya kulala yeye na mkewe.