Kuwa strict maana yake nini? kuwakataza watu kufanya wanavyotaka kwa kutumia nguvu au sheria?Kifupi tu ni kwamba dini ya ukristo imekua ikichezewa sana mpaka inafikia steji inaonekana kama ni biashara na sio huduma ya kiroho. Waislam wako strict sana na Imani Yao. Huwezi kukuta mtu anajiita Mungu, Mtume, nabii nk.
Mi sijasema popote kwamba sadaka ndo zimejengwa hotelKwanza ungeleta ushahidi ndio tuendelee kujadili,leta ushahidi wa risiti uliyonunulia hio pombe ikionyesha jina la hoteli, au leta picha ya pombe ikiwa kwenye shelf za hoteli.
Mbili,Leta ushahidi kwamba Sadaka ndio zimejenga hio hotel.
Yesu alisema mkiwaona manabii wa uongo, uaKuwa strict maana yake nini? kuwakataza watu kufanya wanavyotaka kwa kutumia nguvu au sheria?
Binafsi, sioni sababu ya kuhangaika na watu wa sampuli hiyo, ndio maana Yesu licha ya kujua watakuja manabii wa uongo, lakini hakuhangaika kuhimiza ziwekwe sheria za kuwazuia.
Wacha mwisho wa siku magugu na mpunga vitatengenishwa.
Una tofauti gani na hao wafuasi wa mwamposa ?Kanisa moja katoliki na la mitume
Hakuna ujanja ujanja. Ni so principled na ni kanisa la mungu siyo la mtu. Umeshawahi kusikia Kuna mtu anamiliki kanisa katoliki? Hata papa akizingua tunamchomoaUna tofauti gani na hao wafuasi wa mwamposa ?View attachment 2550490View attachment 2550491
Kanisa unalosali wewe unaita la Mungu ila la wenzako sijui la shetani?Hakuna ujanja ujanja. Ni so principled na ni kanisa la mungu siyo la mtu. Umeshawahi kusikia Kuna mtu anamiliki kanisa katoliki? Hata papa akizingua tunamchomoa
Ila katoliki ?Hao wanatafuta pesa kutumia udhaifu wa imani za waumini.
Kwa sababu lilianzishwa na Mungu mwenyewe kule Yerusalem.Kanisa halikuanzia Madrid au London au Stockholm,au Michigan,au New York,au Lusaka,au Nairobi,au New Delh,au Dar es Salaam,au Mwanza,au Porto bali Yerusalem.Kanisa unalosali wewe unaita la Mungu ila la wenzako sijui la shetani ?
Una ushahidi gani kuwa kanisa lako ni la Mungu ? Na ni Mungu yupi ?
Kanisa moja ,Takatifu na la Mitume.Ila katoliki ?
Unafahamu Yahweh ni Mungu wa watu gani na dini gani ?Yahweh
Unaelewa maana ya Roman Catholic Church?Kwa sababu lilianzishwa na Mungu mwenyewe kule Yerusalem.Kanisa halikuanzia Madrid au London au Stockholm,au Michigan,au New York, au Lusaka, au Nairobi, au New Delh,au Dar es Salaam, au Mwanza, au Porto bali Yerusalem.