Hivi kwanini mitume na manabii wanawachezea sinema waumini wao? Enyi waumini msiokuwa na akili ni nani aliwaloga?

Ni hatari sana kuwa sehemu usio hata na uelewa nayo.
Uelewa ndo utanifikisha mbinguni au. Ukitaka kuuoma ufalme wa mungu ndugu lazima uwe kama mtoto mdogo. Mtoto mdogo hanaga mambo mengi
 
Kifupi tu ni kwamba dini ya ukristo imekua ikichezewa sana mpaka inafikia steji inaonekana kama ni biashara na sio huduma ya kiroho. Waislam wako strict sana na Imani Yao. Huwezi kukuta mtu anajiita Mungu, Mtume, nabii nk.
Waislamu ukileta za kuleta juu ya Mtume na Allah hawatacheza mbali na kichwa chako, watakuachia kiwiliwili! Sasa nani atakuwa tayari kupoteza Kichwa apate Mihela?
 
Uelewa ndo utanifikisha mbinguni au. Ukitaka kuuoma ufalme wa mungu ndugu lazima uwe kama mtoto mdogo. Mtoto mdogo hanaga mambo mengi
Kama una shindwa kufahamu kuwa Yahweh ni Mungu wa watu gani na dini gani ? Una uelewa gani sasa na Imani yako .
 
Mbona Wakatoliki wana Mashule na Hospitali ambazo kwa Wanyonge bei haishikiki?Si kama Kanisa wangesomesha watu bure tu!
Why Mwamposa peke yake unamsema?
 
Kama una shindwa kufahamu kuwa Yahweh ni Mungu wa watu gani na dini gani ? Una uelewa gani sasa na Imani yako .
mi sitaki kuelewa dini ila mi nasali ili nimjue mungu siyo kuelewa dini. Katoliki ni platform ya kumjua mungu isiyo na shida Wala wasiwasi mana siyo dini ya mtu Bali a universal church. Hivi vijidhehebu vingine watu wamevianzisha kwa malengo Yao tu ndo mana ukimbishia au kukihitirafiana ma mchungani anakufukuza na huna pa kwenda kushtaki mana ni kanisa lake
 
Mbona Wakatoliki wana Mashule na Hospitali ambazo kwa Wanyonge bei haishikiki?Si kama Kanisa wangesomesha watu bure tu!
Why Mwamposa peke yake unamsema?
Shule na hospitali siyo biashara ni huduma
 
Ndio maana nika kuuliza toka awali una elewa maana ya Roman Catholic Church ? Umeshindwa kujibu una ruka ruka tu.

Hata hiyo R.C unayo jivunia nayo ilianza kama mchicha huko Rumi, kwa hiyo acha kuponda Imani za watu kwa kuwa hata wao hawaja fanya hivyo.

Halafu wewe ni mkatoliki gani unaye ponda imani za watu? mbona wakatoliki hawana haya mambo ? wewe umeya patia wapi ?.
 
Wanufaika wanatoa hela ila kulipa mishahara madoctor na walimu na other administrative costs tu
Nao wanaufahika wa huduma ya mwamposa wana toa pesa hili huduma iweze kusonga mbele.

Heshimu imani za watu kama ambavyo yako iliyo jaa mapungufu chungu mzima inavyo heshimiwa.

Usidhani hapo R.C upo sehemu salama na bora zaidi kuliko wenzako wakati wote mna sumbuliwa na " Religious OCD".
 
Nao wanaufahika wa huduma ya mwamposa wana toa pesa hili huduma iweze kusonga mbele.
Wanatoa zinakuwa faida , hii ni mbaya , ilitakiwa watoe running cost za kanisa sio mpaka za kujilimbikizia kujenga hotel yake na mke wake na familia yake
 
Running cost unataka nani alipe ? Wameshaweka infrastructure na wahudumu tayari ni huduma kubwa Sana wametoa
Basi naye Mwamposa aachwe atoe huduma, jambo la msingi havunji sheria za nchi.
 
Wanatoa zinakuwa faida , hii ni mbaya , ilitakiwa watoe running cost za kanisa sio mpaka za kujilimbikizia kujenga hotel yake na mke wake na familia yake
Hiyo hotel inatoa huduma kwa jamii na wala sio ya kulala yeye na mkewe.
 
Kifupi tu ni kwamba dini ya ukristo imekua ikichezewa sana mpaka inafikia steji inaonekana kama ni biashara na sio huduma ya kiroho. Waislam wako strict sana na Imani Yao. Huwezi kukuta mtu anajiita Mungu, Mtume, nabii nk.
Naona saudia washaanza kuichezea wamepiga marufuku adhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…