Hivi kwanini mitume na manabii wanawachezea sinema waumini wao? Enyi waumini msiokuwa na akili ni nani aliwaloga?

Hiyo hotel inatoa huduma kwa jamii na wala sio ya kulala yeye na mkewe.
Hotel haitoi huduma , hotel ni biashara ya faida , angejenga hospital au shule hizo zinagusa jamii nzima na sio selected watu , na hotel pia haipo chini ya waumini ipo chini yake yeye kama yeye
 
Sijawahi ona mtume au nabii aliyefulia baada ya upako kuisha
 
Unapoandika uongo inakusaidia nini? Umewahi kufika kwenye hiyo hoteli ukakuta hivyo ulivyovitaja? Ficha upumbavu wako
 
Hotel haitoi huduma , hotel ni biashara ya faida , angejenga hospital au shule hizo zinagusa jamii nzima na sio selected watu , na hotel pia haipo chini ya waumini ipo chini yake yeye kama yeye
Shule na hospital hazitoi huduma ni biashara ya faida na ndio maana bila pesa hau kubaliwi.

Hakuna hisani katika huu ulimwengu wa sasa.

Katoliki na Mwamposa wote wapo chungu kimoja.
 
Una tofauti gani na hao wafuasi wa mwamposa ?View attachment 2550490View attachment 2550491
Hebu soma hapa;

Wakolosai 3:5:
Basi vifisheni vilivyo katika nchi, uasherati, uchafu, tamaa mbaya, mawazo mabaya, na kutamani, ndiyo kuabudu sanamu.

Sasa jiulize, wewe haupo kwenye kundi lolote hapo juu, majibu baki nayo mwenyewe ukiendelea kutembea na hizo picha za watu kwenye simu yako ukijiona mjanja!.
 
"""Uhuru Wa Miguu,,mikono,,Akili Zimefungwa minyororo"""by Fid q
 
Shule na hospital hazitoi huduma ni biashara ya faida na ndio maana bila pesa hau kubaliwi.
Hizo ni huduma , unalipia gharama za uendeshaji tu na wala sijawahi ona hospital ya kanisa imepata faida , nimefanya humo kila siku wanatembeza bakuli , mpaka inafikia serekali inawasaidia

Hotel imesajilia kwa jina lake na sio jina la waumini wake

Mtume ambae badala aseme ametumwa aseme Nini yeye anatusomea biblia 😂
 
Kuna mahali nime andika kuabudu sanamu hapo katika maelezo yangu ?

Soma kwanza uelewe, sio soma ili ujibu.
 
Nami nazifahamu shule za kikatoliki zinazo lenga fedha kuliko huduma tena kwa gharama kubwa sana.

Tuanzie hapa.
Wewe ni dini ?
 
Mbona mwamposa Jana alipata wakala wake humu na uzi upo sijui akini mood wameupenda zaidi ule uzi
 
Technically kufanya kwake dhambi haimaanishi kwamba kitu fulani sio dhambi kwa mujibu wa Katiba Yao....

Anyway to each his/her own....
 
Nami nazifahamu shule za kikatoliki zinazo lenga fedha kuliko huduma tena kwa gharama kubwa sana.

Tuanzie hapa.
Wewe ni dini ?
Fedha ikiwa kubwa juwa running cost ni kubwa na wameweka standard flani za shule

Dini yangu ni mbusu jiwe
 
Huyu si tapeli amewakuta majinga , majibwa ngoja azikusanye
 
Mjini hakuna shamba,mjini ni kuzidiana akili tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mahali nime andika kuabudu sanamu hapo katika maelezo yangu ?

Soma kwanza uelewe, sio soma ili ujibu.
Niko mbele yako kwenye kufikiria na kutenda, umeona nimeshakufunga mdomo kwa andiko hapo juu, ndio ikabidi ule kona[emoji1787][emoji1787]

Futa hizo picha za watu unazotembea nazo kwenye simu yako, usizojua unatembea nazo za nini🫣🫣
 
Fedha ikiwa kubwa juwa running cost ni kubwa na wameweka standard flani za shule

Dini yangu ni mbusu jiwe
Inapatikana maeneo gani ? Pia ili asisiwa lini ? Na ina abudu nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…