Zombie S2KIZZY
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 826
- 1,622
Sasa wewe kinachokuudhi nini?Hivi kwanini mtu akija huku dar
aanapenda lafudhi ya kiswahili chetu ?
Yaan unakuta mtu anaiga kabisa ule uongeaji sijui na yeye aonekane kazaliwa huku ?
Sasa kibaya zaidi anavyoongea ni hovyo yaan unaona anajilazimisha na anakosea ,
hii kitu siipendi kichizi .
Ndugu zetu mnaotoka mikoani acheni kulazimisha lafudhi ,kama lafudhi yako ni ya kisukuma,kikurya,kichaga,kimasai nk,
Wewe ongea sisi tunawaelewa na hatuwacheki maana mjini msingi pesa sio lafudhi.
Sorry kwa niliowakera🙏
View attachment 2780113
Hongera kwa kuzaliwa DarHivi kwanini mtu akija huku dar
aanapenda lafudhi ya kiswahili chetu ?
Yaan unakuta mtu anaiga kabisa ule uongeaji sijui na yeye aonekane kazaliwa huku ?
Sasa kibaya zaidi anavyoongea ni hovyo yaan unaona anajilazimisha na anakosea ,
hii kitu siipendi kichizi .
Ndugu zetu mnaotoka mikoani acheni kulazimisha lafudhi ,kama lafudhi yako ni ya kisukuma,kikurya,kichaga,kimasai nk,
Wewe ongea sisi tunawaelewa na hatuwacheki maana mjini msingi pesa sio lafudhi.
Sorry kwa niliowakera🙏
Unaongelea Mara au Dar?.....ukiona mtu anaongea hivyo ujue katika mkoaniUnamaanisha hii lafudhi mbovu ya dar wasioweza kutofautisha matumizi ya R na L.
Chakura
Dalasa.
Itakuwa ni mpumbavu huyo wa kuiga lafudhi mbovu kabisa ya watu wa dar.
Pwani unayoongelea wewe yenye lafudhi nzuri ni Zanzibar na Tanga tu, na Tanga ni wadigo pekee.
Hongera kuongea kidaslam na kuzaliwa daslamHivi kwanini mtu akija huku dar
aanapenda lafudhi ya kiswahili chetu ?
Yaan unakuta mtu anaiga kabisa ule uongeaji sijui na yeye aonekane kazaliwa huku ?
Sasa kibaya zaidi anavyoongea ni hovyo yaan unaona anajilazimisha na anakosea ,
hii kitu siipendi kichizi .
Ndugu zetu mnaotoka mikoani acheni kulazimisha lafudhi ,kama lafudhi yako ni ya kisukuma,kikurya,kichaga,kimasai nk,
Wewe ongea sisi tunawaelewa na hatuwacheki maana mjini msingi pesa sio lafudhi,
Mbn wanangu wa ngarenaro wanaongea kwa lafudhi Yao alafu shega tu.
Huu mtazamo tu,
Sorry kwa niliowakera🙏
View attachment 2780113
Hao uliowaongelea ndio aliokua anawasema mtoa mada sasa, wanaharibu halafu asiyejua anahisi ni wa town kumbe mluga luga wa mkoani.Unamaanisha hii lafudhi mbovu ya dar wasioweza kutofautisha matumizi ya R na L.
Chakura, dalasa, karamu, kalatasi nk.
Tofautisha 'slang' na lafudhi. Nahisi unamaanisha ile misemo ya ovyo ya kuigana ambayo huwa ina trend kwa muda na kupotea kama 'maokoto' kwa sasa.
Itakuwa ni mpumbavu huyo wa kuiga lafudhi mbovu kabisa ya watu wa dar.
Pwani yenye lafudhi nzuri ni Zanzibar na Tanga tu, na Tanga ni wadigo pekee.
Nikiongea na mtu hata kama nilikuwa namuheshimu kiasi gani akiingiza hili neno wala simzingatii tena.Unamaanisha hii lafudhi mbovu ya dar wasioweza kutofautisha matumizi ya R na L.
Chakura, dalasa, karamu, kalatasi nk.
Tofautisha 'slang' na lafudhi. Nahisi unamaanisha ile misemo ya ovyo ya kuigana ambayo huwa ina trend kwa muda na kupotea kama 'maokoto' kwa sasa.
Itakuwa ni mpumbavu huyo wa kuiga lafudhi mbovu kabisa ya watu wa dar.
Pwani yenye lafudhi nzuri ni Zanzibar na Tanga tu, na Tanga ni wadigo pekee.
Nipo Dar miaka 24,naongea Kama nilivyokua naongea taboraHivi kwanini mtu akija huku Dar anapenda lafudhi ya kiswahili chetu?
Yaani unakuta mtu anaiga kabisa ule uongeaji sijui na yeye aonekane kazaliwa huku...