Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Wa Mkoani bhana utawajua tu wakikaa miaka kadhaa wanaona nao wamezaliwa Temeke wakati mtu kufika Daslm kauza Mbuzi mpaka kamba zake baadae akisahau anazungumzia mambo za lafudhi yao...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila wakiiga wewe unapoteza kiasi gani kwani??Hivi kwanini mtu akija huku Dar anapenda lafudhi ya kiswahili chetu?
Yaani unakuta mtu anaiga kabisa ule uongeaji sijui na yeye aonekane kazaliwa huku?
Sasa kibaya zaidi anavyoongea ni hovyo yaan unaona anajilazimisha na anakosea, hii kitu siipendi kichizi. Ndugu zetu mnaotoka mikoani acheni kulazimisha lafudhi ,kama lafudhi yako ni ya kisukuma, kikurya, kichaga, kimasai nk.
Wewe ongea sisi tunawaelewa na hatuwacheki maana mjini msingi pesa sio lafudhi, mbona wanangu wa ngarenaro wanaongea kwa lafudhi Yao alafu shega tu.
Huu mtazamo tu,
Sorry kwa niliowakera🙏
View attachment 2780113
Kwani Dar es salaam si mkoa? Mbona Tanga wana kiswahili kizuri kuliko cha Dar na wanaume wa Dar?Kiswahili chenu...!? Nani kawakabidhi...
Alafu tabia ya kusema wa "mkoani" inatukera Sana hamjui tu.
Kizuri kwa vigezo gani?Kwani Dar es salaam si mkoa? Mbona Tanga wana kiswahili kizuri kuliko cha Dar na wanaume wa Dar?
Hivi kwanini mtu akija huku Dar anapenda lafudhi ya kiswahili chetu?
Yaani unakuta mtu anaiga kabisa ule uongeaji sijui na yeye aonekane kazaliwa huku?
Sasa kibaya zaidi anavyoongea ni hovyo yaan unaona anajilazimisha na anakosea, hii kitu siipendi kichizi. Ndugu zetu mnaotoka mikoani acheni kulazimisha lafudhi ,kama lafudhi yako ni ya kisukuma, kikurya, kichaga, kimasai nk.
Wewe ongea sisi tunawaelewa na hatuwacheki maana mjini msingi pesa sio lafudhi, mbona wanangu wa ngarenaro wanaongea kwa lafudhi Yao alafu shega tu.
Huu mtazamo tu,
Sorry kwa niliowakera🙏
View attachment 2780113
Umejiingiza mwenyewe. Hata hao 'wabara' kama wewe wana rahaja zao na unapaswa uzikubali mwanangu vingine untatea kabobo kama siyo uzwazwa.Kizuri kwa vigezo gani?
Tangu lini ulisikia lahaja zafanana?
Mwingine atakuja atasema kipemba,kiunguja, kitumbatu au kingazija ndio kizuri zaidi?
Mwingine ataenda mbali na kusema kimwani Cha Mtwara na Kaskazini mwa msumbiji ndio bora, utakuwa na hoja ya kumpinga?
Kwa nini mnajitahidi kupiga lafudhi ya dar? Hilo ndilo swali.
Hiyo ni lafudhi ya uswahilini kwa ajili ya waswahili wa temeke, Manzese, kilawani, vingunguti, kawe, mbagala n.k njoo mikocheni, masaki na obay uone lafudhi za kichaga na kihaya.Hivi kwanini mtu akija huku Dar anapenda lafudhi ya kiswahili chetu?
Yaani unakuta mtu anaiga kabisa ule uongeaji sijui na yeye aonekane kazaliwa huku?
Sasa kibaya zaidi anavyoongea ni hovyo yaan unaona anajilazimisha na anakosea, hii kitu siipendi kichizi. Ndugu zetu mnaotoka mikoani acheni kulazimisha lafudhi ,kama lafudhi yako ni ya kisukuma, kikurya, kichaga, kimasai nk.
Wewe ongea sisi tunawaelewa na hatuwacheki maana mjini msingi pesa sio lafudhi, mbona wanangu wa ngarenaro wanaongea kwa lafudhi Yao alafu shega tu.
Huu mtazamo tu,
Sorry kwa niliowakera[emoji120]
View attachment 2780113
Hata mimi nataka niijue leo maana kukaa kwangu kote Dar miaka na miaka.sijawahi lijua hilo.DSm kuna Lafudhi ipi hiyo
Lafudhi huwezi kuilazimisha, utskuwa unafanya comedy tu, lafudhi inajengwa kwa muda mrefu, mtoto anapozsliwa sehemu, atachukua uongeaji wa eneo Hilo, mtoto wa kagera, Arusha, Dar hawawezi kuongea lafudhi moja ya kiswahili,nilienda Arusha, wakati naulizia stand ya mabasi ilipo, wale vijana wa stend wakasema njemba ya dar, kwa kukusikiliza tu unavyoongea, ukienda zenj, ukiongea tu, wanajua M Bara huyu!Hivi kwanini mtu akija huku Dar anapenda lafudhi ya kiswahili chetu?
Yaani unakuta mtu anaiga kabisa ule uongeaji sijui na yeye aonekane kazaliwa huku?
Sasa kibaya zaidi anavyoongea ni hovyo yaan unaona anajilazimisha na anakosea, hii kitu siipendi kichizi. Ndugu zetu mnaotoka mikoani acheni kulazimisha lafudhi ,kama lafudhi yako ni ya kisukuma, kikurya, kichaga, kimasai nk.
Wewe ongea sisi tunawaelewa na hatuwacheki maana mjini msingi pesa sio lafudhi, mbona wanangu wa ngarenaro wanaongea kwa lafudhi Yao alafu shega tu.
Huu mtazamo tu,
Sorry kwa niliowakera[emoji120]
View attachment 2780113
Sisi wasambaa umetutenga?Unamaanisha hii lafudhi mbovu ya dar wasioweza kutofautisha matumizi ya R na L.
Chakura, dalasa, karamu, kalatasi nk.
Tofautisha 'slang' na lafudhi. Nahisi unamaanisha ile misemo ya ovyo ya kuigana ambayo huwa ina trend kwa muda na kupotea kama 'maokoto' kwa sasa.
Itakuwa ni mpumbavu huyo wa kuiga lafudhi mbovu kabisa ya watu wa dar.
Pwani yenye lafudhi nzuri ni Zanzibar na Tanga tu, na Tanga ni wadigo pekee.
Lafudhi ipo ni kweli ila ya waswahili ukiwa mshua hutaisikia sababu inapeta sana kwenye dala dala, vijiweni, shule za wenyeji mfano jangwani, temeke, kinondoni, msasani. Vijiwe kama karume, magomeni, tandale n.kKwa kutumia sentensi fupi, naomba mfano mmojawapo wa lafudhi ya Dar