Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Saaa hiyo si lafudhi (Accent), hiyo inaitwa "Slang"Lafudhi ipo ni kweli ila ya waswahili ukiwa mshua hutaisikia sababu inapeta sana kwenye dala dala, vijiweni, shule za wenyeji mfano jangwani, temeke, kinondoni, msasani. Vijiwe kama karume, magomeni, tandale n.k
Ila kariakoo madukani huwwzi sikia, maofisi ya serikali, binafsi huwezi sikia, mlimani city huikuti, kwa kifupi ni lafudhi ya watu wa uswahilini waswahili OG
Ni kama Kenya, kuna lafudhi ya Wakikuyu au Wakenya na kuna slang ya Nairobi ambayo Mombasa wala Lamu haipo