Hivi kwanini mtu akija huku Dar anapenda lafudhi ya kiswahili chetu?

Hivi kwanini mtu akija huku Dar anapenda lafudhi ya kiswahili chetu?

Muha akishakaa mjini zaidi ya mwezi anajiita mtu wa Dar, sawa bwana, basi wewe ni Mzaramu.
Screenshot_20231013-140631.png

Born (kuzaliwa): Nimezaliwa dar
Baba mzaramo na mama mnyakyusa
Muha akishakaa mjini zaidi ya mwezi anajiita mtu wa Dar, sawa bwana, basi wewe ni Mzaramu.
 
Muha ni hivi, siku hizi hapa Tanzania watu wengi wameelimika na kuchukia ushoga, wewe jaribu kwenda mikoani na kujifanya wewe ni kijana wa Dar, uone watu watakupeaje huko.
Acha makasiriko ya umasikini tafuta pesa mkuu ili usiwe na wivu na watu wa dar
Yaan unacomment chuki na ushuzi Ila moyoni unatamani ufe uzaliwe dar
Sitajibishana na wewe tena maana jamii inaniheshimu pia Mimi ni kioo Cha jamii,
Sawa ya mpumbavu nikumnyamazia tu na umasikini wake
Ukitaka hela ya kula ni pm nikusaidie.
 
Japo nimeishi dar mda ila naina rafudhi ya pwani wanaongea sana watoto wa uswahilini na maskini huwezi kuta mtu kazaliwa osterbay,upanga ,mbezi ana rafudhi ya pwani
 
Japo nimeishi dar mda ila naina rafudhi ya pwani wanaongea sana watoto wa uswahilini na maskini huwezi kuta mtu kazaliwa osterbay,upanga ,mbezi ana rafudhi ya pwani
Ni wale bodaboda vishandu ndio wanaongea sana
 
Acha makasiriko ya umasikini tafuta pesa mkuu ili usiwe na wivu na watu wa dar
Yaan unacomment chuki na ushuzi Ila moyoni unatamani ufe uzaliwe dar
Sitajibishana na wewe tena maana jamii inaniheshimu pia Mimi ni kioo Cha jamii,
Sawa ya mpumbavu nikumnyamazia tu na umasikini wake
Ukitaka hela ya kula ni pm nikusaidie.
Mbona ni wewe ndiye unayeongea kwa hasira sasa? Hii ni tabia ya kishoga dogo, fanya kazi si kukaa kusifia lafudhi za kishoga.....hakuna mwanamme mwenye akili timamu anafagilia lafudhi ya kishoga, never. Hivi umezaliwa mwaka 2000 na ngapi vile😳
 
hao unaoita washamba ndio wanakuongoza nchini.ndio wanaishi maosha mazuri dar kuliko wewe mla kisamvu/mzaramo

tunatembelea matako wewe unadandia vitega uchumi vyetu/daladala

ukute wewe ndio vile vishkaji vinavyo vaa jinzi zakuchanika mapajani umesuka vidrid unavuta bangi.

salami yenu ni ,shega,shookali,ilele.
kulakwamama na baba.

umejishuhulisha sana nikuendesha bodaboda huku kiuno umekiweka upande kwako ndio ujanja.

mademzenu Sasa niwale wakija madukani kwetu kazi kudonoa mchele nakubugia mbichi kama kuku.

kiufupi wazaramo akili hamna nawewe umethibitisha hapa.
 
Back
Top Bottom