Hivi kwanini mtu akikataliwa ombi la kuwa wapenzi huwa anakata mawasiliano na yule muhusika?

Hivi kwanini mtu akikataliwa ombi la kuwa wapenzi huwa anakata mawasiliano na yule muhusika?

Kuna manzi alinikataaa Nikamlia tinted nikakata mawasiliano tunaonana tu ofisini mambo poa imeisha,
Kuna siku tuko semina mkoa mwingine akaniomba jioni tutoke tuongee nikakubali bas huko dinner akalalamika namkaushia anatamani urafiki wetu uendelee mi nikamuambia tu I'm okay with her.

Badae nikamletea habari za kumtaka tena, yaani ni kwamba hataki kunikubalia pia hawezi kunikataaa ndo ivo Huwa nachombeza tu Kila tukiwa wawili ofisini,Ana mwamba wake fimbo ya mbali pia na Mimi Nina mke, Sasa wakuu mechi ya kirafiki hapa ipo kweli au nimpotezee mazima?
Poteza mazima.
 
Nilifanya kosa la kutongoza officemate akachomoa kwa kusema kabila langu ni la wajinga. Sikuhizi Nina kazi ya kumuwekea virus kwenye laptop na kumuibia documents Hadi akome
😂😂 bora utongoze ukubaliwe… ukikataliwa ni tatizo,, kuna mtu sahivi nashindwa kabisa kumuheshimu tokea aliponitongoza.. ni mbaya sana!!
 
Back
Top Bottom