Hivi kwanini mtu akikataliwa ombi la kuwa wapenzi huwa anakata mawasiliano na yule muhusika?

kweli mkuu. mwanamke ukimkalia kimya huwa inamuuma sana hadi anakosa raha.

Chakushangaza hata akikupiga kibuti ukimpotezea lazima imuume.
 
 
ana kama umri gani sasa hivi? alafu asilimia kubwa ya wanawake huwa hawafuti namba za simu hata za wanaume waliowakataa!
 
Mm ndio huyo taah

Mara nyingi sna nafuta na namba na ukicheza kote kote hata stutus zake hakn kuview
 
Oyaaa 🀣🀣 bora nusu hasara mwanangu

Eti kidume kabisa utoke magetoni ukampelekee manzi kuku hostel acha apambane na hali yale kwa sasa
Alinikera sana si unajua maandalizi ya geto ukiwa unategemea pisi ije, usafi wa hali ya juu πŸ˜‚
Alafu nije nipeleke kuku wakati hapo nimechukua kuku na hela ya kula wiki nzima πŸ˜‚
 
Ndivyo walivyo soko likishakuwa gumu atakutafuta

Anataka ndoa ili ajimwambafai kwa ex zake na mashosti zake si mlisema siolewi haya sasa nimeolewa

Hao wanapenda HARUSI ila sio NDOA

Ogopa sana mwanamke wa hivyo
Baadhi ya anawake wakiwa chini ya 25 huwa wanasahau sana muda ni kila kitu kwa mwanamke. Ngoja afike 28 full mawazo ya kupata mume
 
Baadhi ya anawake wakiwa chini ya 25 huwa wanasahau sana muda ni kila kitu kwa mwanamke. Ngoja afike 28 full mawazo ya kupata mume
Uko sahihi muda wa mwanamke kuringia uzuri wake ni mfupi sana

Maana akija kushtuka kashakuwa msimbe, halafu kila mwaka batch mpya za mabinti wazuri na wabichi zinaingia sokoni
 
Nagongelea nyundo hapa......yaani mtu anaetaka muendeleze urafiki ana haja zake binafsi anataka kuzitimiza
 
Kumpata ni ngumu ila sio anajiliza kwako shida zake hamna kazi hapooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…