TANZANIAN NINJA
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 456
- 534
Ungekuwa IT tena wale wa cyber binti wawatu angekoma sema Mungu kakunyima maujuzi, alijua ungenyanyasa watu wakeNilifanya kosa la kutongoza officemate akachomoa kwa kusema kabila langu ni la wajinga. Sikuhizi Nina kazi ya kumuwekea virus kwenye laptop na kumuibia documents Hadi akome
We Jamaa ndio unaonekana huna msimamoKuna manzi alinikataaa Nikamlia tinted nikakata mawasiliano tunaonana tu ofisini mambo poa imeisha,
Kuna siku tuko semina mkoa mwingine akaniomba jioni tutoke tuongee nikakubali bas huko dinner akalalamika namkaushia anatamani urafiki wetu uendelee mi nikamuambia tu I'm okay with her.
Badae nikamletea habari za kumtaka tena, yaani ni kwamba hataki kunikubalia pia hawezi kunikataaa ndo ivo Huwa nachombeza tu Kila tukiwa wawili ofisini,Ana mwamba wake fimbo ya mbali pia na Mimi Nina mke, Sasa wakuu mechi ya kirafiki hapa ipo kweli au nimpotezee mazima?
mlie buyu tu, ulikubali nini sasa kukaa naye, mbn huna misimamo?Kuna manzi alinikataaa Nikamlia tinted nikakata mawasiliano tunaonana tu ofisini mambo poa imeisha,
Kuna siku tuko semina mkoa mwingine akaniomba jioni tutoke tuongee nikakubali bas huko dinner akalalamika namkaushia anatamani urafiki wetu uendelee mi nikamuambia tu I'm okay with her.
Badae nikamletea habari za kumtaka tena, yaani ni kwamba hataki kunikubalia pia hawezi kunikataaa ndo ivo Huwa nachombeza tu Kila tukiwa wawili ofisini,Ana mwamba wake fimbo ya mbali pia na Mimi Nina mke, Sasa wakuu mechi ya kirafiki hapa ipo kweli au nimpotezee mazima?
Yes huwa inakuwa hivyo mara nyingi wahenga walisema muda ni mwalimu mzuri sana na kwenye maisha jipe muda.Kabisa lazima hajute. Hii inakuwa kama karma huwa inawatokea wengi yaani mtu uliyewahi kumdharu kuna kipindi kitafika utamuhitaji ktk maisha baada ya kukwama na huwa inawatokea kama hivyo wanawake waliowadharau wanaume uko siku za nyuma
Hakika, hasa Ke urafiki huwa unawanufaisha sana na akitumia kigezo cha kumpenda anaweza kukutumia sana.Nagongelea nyundo hapa......yaani mtu anaetaka muendeleze urafiki ana haja zake binafsi anataka kuzitimiza
Mnawasiliana kuhusu nini? Au ili uendelee kupata nini?Hivi kwanini mtu akikataliwa ombi la kuwa wapenzi huwa anakata mawasiliano na yule muhusika?
Duuh, kweli kabila lako huwenda ikawa lina shidaNilifanya kosa la kutongoza officemate akachomoa kwa kusema kabila langu ni la wajinga. Sikuhizi Nina kazi ya kumuwekea virus kwenye laptop na kumuibia documents Hadi akome
ni kukata tamaaHivi kwanini mtu akikataliwa ombi la kuwa wapenzi huwa anakata mawasiliano na yule muhusika?
Nimejikuta nacheka,ila hii jf huchokiNilifanya kosa la kutongoza officemate akachomoa kwa kusema kabila langu ni la wajinga. Sikuhizi Nina kazi ya kumuwekea virus kwenye laptop na kumuibia documents Hadi akome
Kweli hakukosea kusema kabila lenu wajinga. Umeonyesha ujinga piaNilifanya kosa la kutongoza officemate akachomoa kwa kusema kabila langu ni la wajinga. Sikuhizi Nina kazi ya kumuwekea virus kwenye laptop na kumuibia documents Hadi akome
HAKUTAKI. JIONGEZE WE' WA WAPI 'MWANETU'? ACHA USHAMBA.!Kuna manzi alinikataaa Nikamlia tinted nikakata mawasiliano tunaonana tu ofisini mambo poa imeisha,