Hivi kwanini mtu akikataliwa ombi la kuwa wapenzi huwa anakata mawasiliano na yule muhusika?

Nilifanya kosa la kutongoza officemate akachomoa kwa kusema kabila langu ni la wajinga. Sikuhizi Nina kazi ya kumuwekea virus kwenye laptop na kumuibia documents Hadi akome
Ungekuwa IT tena wale wa cyber binti wawatu angekoma sema Mungu kakunyima maujuzi, alijua ungenyanyasa watu wake
 
Kuna manzi alinikataaa Nikamlia tinted nikakata mawasiliano tunaonana tu ofisini mambo poa imeisha,
Kuna siku tuko semina mkoa mwingine akaniomba jioni tutoke tuongee nikakubali bas huko dinner akalalamika namkaushia anatamani urafiki wetu uendelee mi nikamuambia tu I'm okay with her.

Badae nikamletea habari za kumtaka tena, yaani ni kwamba hataki kunikubalia pia hawezi kunikataaa ndo ivo Huwa nachombeza tu Kila tukiwa wawili ofisini,Ana mwamba wake fimbo ya mbali pia na Mimi Nina mke, Sasa wakuu mechi ya kirafiki hapa ipo kweli au nimpotezee mazima?
We Jamaa ndio unaonekana huna msimamo

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Kuna manzi alinikataaa Nikamlia tinted nikakata mawasiliano tunaonana tu ofisini mambo poa imeisha,
Kuna siku tuko semina mkoa mwingine akaniomba jioni tutoke tuongee nikakubali bas huko dinner akalalamika namkaushia anatamani urafiki wetu uendelee mi nikamuambia tu I'm okay with her.

Badae nikamletea habari za kumtaka tena, yaani ni kwamba hataki kunikubalia pia hawezi kunikataaa ndo ivo Huwa nachombeza tu Kila tukiwa wawili ofisini,Ana mwamba wake fimbo ya mbali pia na Mimi Nina mke, Sasa wakuu mechi ya kirafiki hapa ipo kweli au nimpotezee mazima?
mlie buyu tu, ulikubali nini sasa kukaa naye, mbn huna misimamo?
 
Kabisa lazima hajute. Hii inakuwa kama karma huwa inawatokea wengi yaani mtu uliyewahi kumdharu kuna kipindi kitafika utamuhitaji ktk maisha baada ya kukwama na huwa inawatokea kama hivyo wanawake waliowadharau wanaume uko siku za nyuma
Yes huwa inakuwa hivyo mara nyingi wahenga walisema muda ni mwalimu mzuri sana na kwenye maisha jipe muda.
 
Wewe ukienda kuomba kazi sehemu halafu ukakataliwa utaendelea kwenda hiyo sehemu kila siku??
 
Kwa kweli hawa mama lishe na wasaidizi wao kama ni wazuri tunawatongoza sana bila kujali kama ni wake za watu au la. Tukinyimwa penzi tunahama mgahawa na kuhamia kwingine waliko wazuri. Bodaboda na bajaj ndiyo machimbo yao kuopoa mademu hao, mbaya zaidi wanawagombania mpaka wanapigana kila mmoja akitaka amiliki demu yeye peke yake. Mademu wa migahawani ni sawa na mabaa medi tu, wateja huenda pale si kula tu bali hufuata mademu hao na wakinyimwa ushirikiano wanahama hapo
 
Kuna mama lishe mmoja nilimuuliza kwa nini analeta wasaidizi wazuri wanaishia kugombaniwa na wateja wake na wengine kujazwa mimba kiholela alijibu akileta wasaidizi wabaya mauzo ya chakula yatashuka, wateja wengi hawatakuja kula. Wateja wengi huja kula kwa lengo la kujipatia demu wa kutongoza, wanaanza kwa kuomba namba ya simu, wakinyimwa wanahama mgahawa
 
Hivi kwann ukienda kwenye mgahawa na njaa na ukaulizia chakula ukiambiwa kimeisha unaondoka zako hauendelei kubakia hapo mgahawani?

Kuna vitu tuwe tunauliza baada ya kutafakari sio kuuliza kama mtoto wa miaka 2.
 
Kuna manzi alinikataaa Nikamlia tinted nikakata mawasiliano tunaonana tu ofisini mambo poa imeisha,
Kuna siku tuko semina mkoa mwingine akaniomba jioni tutoke tuongee nikakubali bas huko dinner akalalamika namkaushia anatamani urafiki wetu uendelee mi nikamuambia tu I'm okay with her.

Badae nikamletea habari za kumtaka tena, yaani ni kwamba hataki kunikubalia pia hawezi kunikataaa ndo ivo Huwa nachombeza tu Kila tukiwa wawili ofisini,Ana mwamba wake fimbo ya mbali pia na Mimi Nina mke, Sasa wakuu mechi ya kirafiki hapa ipo kweli au nimpotezee mazima?
HAKUTAKI. JIONGEZE WE' WA WAPI 'MWANETU'? ACHA USHAMBA.!
 
Back
Top Bottom