Bro acha ushamba na u-heal sasa ndo nn hiyo serious mwanaume mkubwa unajisifia hivo...kwa kweli huyo mwanamke deserves better kabisaaNilifanya kosa la kutongoza officemate akachomoa kwa kusema kabila langu ni la wajinga. Sikuhizi Nina kazi ya kumuwekea virus kwenye laptop na kumuibia documents Hadi akome
Yes.Hapana…!
Anakuendekeza.[emoji38]Hapana…!
Unawajua sana mkuu hawa b*chesNdivyo walivyo soko likishakuwa gumu atakutafuta
Anataka ndoa ili ajimwambafai kwa ex zake na mashosti zake si mlisema siolewi haya sasa nimeolewa
Hao wanapenda HARUSI ila sio NDOA
Ogopa sana mwanamke wa hivyo
Mkuu semina nje ya mkoa, akaomba dinner, akalalamika unamchunia, akaonesha hataki kukupoteza na bado ukashindwa kumpokea kijiti na kumuongoza anachokitaka!?Kuna manzi alinikataaa Nikamlia tinted nikakata mawasiliano tunaonana tu ofisini mambo poa imeisha,
Kuna siku tuko semina mkoa mwingine akaniomba jioni tutoke tuongee nikakubali bas huko dinner akalalamika namkaushia anatamani urafiki wetu uendelee mi nikamuambia tu I'm okay with her.
Badae nikamletea habari za kumtaka tena, yaani ni kwamba hataki kunikubalia pia hawezi kunikataaa ndo ivo Huwa nachombeza tu Kila tukiwa wawili ofisini,Ana mwamba wake fimbo ya mbali pia na Mimi Nina mke, Sasa wakuu mechi ya kirafiki hapa ipo kweli au nimpotezee mazima?
Kenge kabisa hili jamaa. Acha ushamba Restless HustlerBro acha ushamba na u-heal sasa ndo nn hiyo serious mwanaume mkubwa unajisifia hivo...kwa kweli huyo mwanamke deserves better kabisaa
Kampeni zinakuwa zimehitimishwa sio hahahhSasa umekwisha shindwa uchaguzi
yanini kuendelea na kampeni!
Tengeneza mazingira ya kulana kimasihala bila kuongelea Habari za kutongozana na kuomba ombana. Wenyewe wanaita no strings attached...yaani vikojoleo ndio viongeeKuna manzi alinikataaa Nikamlia tinted nikakata mawasiliano tunaonana tu ofisini mambo poa imeisha,
Kuna siku tuko semina mkoa mwingine akaniomba jioni tutoke tuongee nikakubali bas huko dinner akalalamika namkaushia anatamani urafiki wetu uendelee mi nikamuambia tu I'm okay with her.
Badae nikamletea habari za kumtaka tena, yaani ni kwamba hataki kunikubalia pia hawezi kunikataaa ndo ivo Huwa nachombeza tu Kila tukiwa wawili ofisini,Ana mwamba wake fimbo ya mbali pia na Mimi Nina mke, Sasa wakuu mechi ya kirafiki hapa ipo kweli au nimpotezee mazima?
Umekaa kinyonge sanaKwa wakongwe kukataliwa ni sehemu ya kukubaliwa(watoto hamuwezi kuelewa)
Huwa hatuonyeshi hasira wala chuki au tofauti yoyote, mawasiliano ya salamu kujuliana hali yanakuwepo, utani na ucheshi ndani yake.
Ipo siku tu atapata kwangu kitu ambacho ni furaha kwake ila hakipati kwa mwenzi wake na hapo ndipo huitumia nafasi nilioisubiri kwa muda mrefu, hata kama hatokuwa mpenzi ila nitamtafuna tu.
Sasa km mhusika hataki mahusiano tutaendelea kuwasiliana kwaajili ya kitu gani?.Hivi kwanini mtu akikataliwa ombi la kuwa wapenzi huwa anakata mawasiliano na yule muhusika?